COVID19 Tanzania: Wagonjwa wapya 35 waongezeka; idadi yafikia 88 (Aprili 15, 2020)

COVID19 Tanzania: Wagonjwa wapya 35 waongezeka; idadi yafikia 88 (Aprili 15, 2020)

Mkuu huna sababu ya kutukana watu kachspe kazi usife na njaa,Magufuli kushstoa magari mapya ,25 ya kuwapeleka kazini na makonda katangaza guest 25 za kulala bure Kama umepiga kazi sans na ukaons kurudi home kwako ni kupoteza muda,please kachspe kazi
Una list ya izo GUEST HOUSE mkuu? Tafadhali share.
 
Hali ni tete, tunakoelekea ni pagumu zaidi. Kila mtu ajichunge mwenyewe,hapatakuwepo na wakulaumiwa,kwa wale wanaotoa ushauri wa kwamba lockdown itangaze bila kujali ni total au ni partial.

Wana hoja ya msingi lakini kwa kuwa ushauri huo haufanyiwi kazi ni vema kila mtu afanye analoona litamuweka salama,ukiweza ji lockdown mwenyewe na familia yako,tuendelee kumuomba Mungu na kufuata ushauri wa wataalamu.
NAM
 
taa nyekundu ishawaka kila mtu ajue ajikinge yeye na familia yake tatizo la sisi wabongo tunajifanya wajuaji kila kitu sasa, kilichobakia kila mtu ailinde nafsi yake na amuombe Mungu wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lockdown will come by default! Yaani Kama mwendo wa tren, sasa imefika pugu na imechanganya balaa
 
Back
Top Bottom