Karungikana
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 913
- 844
Akili finyu mawazo mgando!Dah...Kwani April kulikuwa na vifo vingapi vya saratani? Malaria? Utapiamlo? Ajali? Mbona havitangazwi?...au hatuhitaji kuvijua ili tujilinde navyo?...Au vifo vya corona ndiyo muhimu zaidi? [emoji41]
Sent using Beretta ARX 160
Takwimu itolewe kwa magonjwa yote hatari sio tu corona,hujui kuwa tupo tunaopuuzia kushusha neti?Vichwa vya watanzania kama vyote vimeharibika vile; hivi kweli mtu unatilia shaka umuhimu wa takwimu; eeeh Mungu tuondolee huyu Kofuli maana amefanya hii nchi kuwa ya mambumbu!
hamna kitu mikwara tu corona corona wala haina makali yoyoteila kamdudu [emoji23]
Mkulima wa mahindi
Kw
Kwanini hazitangazwi kilasiku ya mungu?unafahamu kuwa watoto wengi Sana hufa kwa maralia kilasiku kuliko Corona?kwanini Maralia haipewi promotion kubwa kiasi hiki wakati ndo inatuangamiza Sana? Au kwasababu tayari dili la kusambaza dawa na vifaa tayari mabeberu wamesha lilamba
Dah...Kwani April kulikuwa na vifo vingapi vya saratani? Malaria? Utapiamlo? Ajali? Mbona havitangazwi?...au hatuhitaji kuvijua ili tujilinde navyo?...Au vifo vya corona ndiyo muhimu zaidi? [emoji41]
Sent using Beretta ARX 160
Dah....Waamerika hawatagazi pia vifo visivyo vya Corona....au hawafi kwa ajali au magonjwa mengine?Vinatakiwa vitangazwe,kutotangazwa ni kwa sababu ya umaskini na uzembe.
Akili finyu mawazo mgando!
Wanachotaka wao sisi ndo tufanye kisa ngozi nyeupeee au wanaakili Sana kutuzidii, au wao ndo wanatuongoza?ila chuma kawadindia kudadeki Hadi namkumbuka Mugabe aiseeWewe haujazuiwa kutangaza twkwimu za watu wako wa karibu,ebu tuambie wangapi wako positive na wangapi wamefariki udijutie una huruma kwa watu wengine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah....Waamerika hawatagazi pia vifo visivyo vya Corona....au hawafi kwa ajali au magonjwa mengine?
Sent using Beretta ARX 160
wewe jipe jukumu la kujua mtaani kwako wanakufa wangapi,utapata picha nini kinaendelea.Kutangazwa sio lazima usomewee kama taarifa ya habari kila siku,hata wakiwa wanaweka mtandaoni na kufanya update kila siku au wiki ni sawa na kutangaza.