#COVID19 COVID19: Watanzania tusipuuzie Corona; si lazima tutangaziwe vifo na maambukizi kila siku ili kujilinda

#COVID19 COVID19: Watanzania tusipuuzie Corona; si lazima tutangaziwe vifo na maambukizi kila siku ili kujilinda

Status
Not open for further replies.
Takwim
Vichwa vya watanzania kama vyote vimeharibika vile; hivi kweli mtu unatilia shaka umuhimu wa takwimu; eeeh Mungu tuondolee huyu Kofuli maana amefanya hii nchi kuwa ya mambumbu!
Takwimu itolewe kwa magonjwa yote hatari sio tu corona,hujui kuwa tupo tunaopuuzia kushusha neti?
 
Zote zinatakiwa zitangazwe kila siku,ziwepo mtandaoni.
Kw
Kwanini hazitangazwi kilasiku ya mungu?unafahamu kuwa watoto wengi Sana hufa kwa maralia kilasiku kuliko Corona?kwanini Maralia haipewi promotion kubwa kiasi hiki wakati ndo inatuangamiza Sana? Au kwasababu tayari dili la kusambaza dawa na vifaa tayari mabeberu wamesha lilamba
 
Vinatakiwa vitangazwe,kutotangazwa ni kwa sababu ya umaskini na uzembe.
Dah...Kwani April kulikuwa na vifo vingapi vya saratani? Malaria? Utapiamlo? Ajali? Mbona havitangazwi?...au hatuhitaji kuvijua ili tujilinde navyo?...Au vifo vya corona ndiyo muhimu zaidi? [emoji41]

Sent using Beretta ARX 160
 
Kutangazwa sio lazima usomewee kama taarifa ya habari kila siku,hata wakiwa wanaweka mtandaoni na kufanya update kila siku au wiki ni sawa na kutangaza.
Dah....Waamerika hawatagazi pia vifo visivyo vya Corona....au hawafi kwa ajali au magonjwa mengine?

Sent using Beretta ARX 160
 
Kutangazwa sio lazima usomewee kama taarifa ya habari kila siku,hata wakiwa wanaweka mtandaoni na kufanya update kila siku au wiki ni sawa na kutangaza.
wewe jipe jukumu la kujua mtaani kwako wanakufa wangapi,utapata picha nini kinaendelea.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom