Cowiti anusurika kuuawa Tarime na genge la wauaji, wadhurumati, wafanya magendo wakishirikiana na baadhi ya maafisa, asota mahabusu

Kuna kundi kubwa la wafanyabiashara wafanya magendo Tarime, Wauaji na wakwepa kodi au wanasiasa wanaotumika kukwepa kodi na kuhujumu mapato ya Serikali na pia kudhurumu Haki za watu wasio na nguvu au utetezi.

Kundi hili linakula na viongozi wa Idara nyeti za Serikali na ndio maana pamoja na Uhalifu na uozo wao bado wako uraiani.

Imefikia hatua hata wananchi wanaogopa kutoa taarifa za Uhalifu kwa kuhofia maisha yao au kubambikiwa kesi kama ilivyo kwa Bwana Lameck Cowiti.

Hili kundi linaongozwa na Mfanyabiashara Peter Zakaria na vijana wake kina Jura, Simon Kilesi (muuaji), Namba Tatu, Kiraa na wengine wengi wakishirikiana na VIONGOZI wa Vyombo vya Dola.
 
UPDATES:

KUTOKANA NA KELELE ZA HUMU JF INASEMEKANA LEO WANAWEZA MPELEKA MAHAKAMANI LAKINI WAKAWEKA SHARTI LA ADHAMINIWE NA WATUMISHI WA SERIKALI HUKU WAKIJUA WATUMISHI WENGI WANALIOGOPA KUNDI HILO. HIVYO ANAWEZA KOSA WADHAMINI.
 
Mwenye Enzi Mungu akulinde na akuepushe na shari zote mtu wa Mungu [emoji22]
 
Sehemu hiyo ni ya wababe,matajiri utajiri wao ,wengi wao wameupatia
Kwa dhulma,magumashi nk

kANDA MAALUM HIYO....

Ova
 
Dawa yake ipo jikoni inachemka wala msiwaze sana juu yake...na siyo yeye tu wapo k
Wengi tu.
Hao watu wanatisha. Ngumu kuwazuia maaana ndio wafadhiri wa Chama Tawala.
 
Kuna Jamaa Alimpiga Risasi Afisa Kipenyo Tarime Huko Huko, Serikali Ipaangalie Vizur Kuna Shida Kubwa Sana Kwa Wananchi Na Vyombo Vya Usalama
 
Kuna Jamaa Alimpiga Risasi Afisa Kipenyo Tarime Huko Huko, Serikali Ipaangalie Vizur Kuna Shida Kubwa Sana Kwa Wananchi Na Vyombo Vya Usalama

Ndio hiyo zacharia unayemsikia, kule anaogopeka sana kuliko kawaida, hata waajiriwa wa serikali hua wanatubu kwake kila leo wababe hatari kundi lao
 
Media zina nafasi kubwa ya kuibadilisha jamii.

Kama kila jambo baya tukiwa tubapaza sauti, walau nchi ingenyooka
 
Yanayoendelea sasa ni vituko. Wameshindwa mpeleka mahakamani hadi leo.
 
Hadi leo police wanajikanyaga kumpeleka huyu jamaa mahakamani au kumuachia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…