nokwenumuya
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 820
- 2,896
- Thread starter
- #21
Ni kweli kabisa. Mara sijui itasaidikaje.Tarime na musoma yake kuna upuuzi mwingi sana Ali Hapi alikumbana na vikwazo vya aina hiyo kwenye utendaji wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli kabisa. Mara sijui itasaidikaje.Tarime na musoma yake kuna upuuzi mwingi sana Ali Hapi alikumbana na vikwazo vya aina hiyo kwenye utendaji wake
Ni kweli kabisa. Mara sijui itasaidikaje.
Mbele ya pesa hakuna linaloshindikana.Majambazi yanashirikiana na polisi, bado tuna safari ndefu sana nchi hii.
Ni kweli. Wenyeji wasipojitambua wataendelea kuwa hapo hapo.Ule mkoa ni tatizo upigaji wao, ujuaji wao yaani mkoa potential lakini hauna kitu cha maana upo upo tu kama vijijini lakini wana dhahabu, uvuvi, biashara,
Tehetehe. Ni sahihi kabisa.Mbele ya pesa hakuna linaloshindikana.
Unaweza ukaenda ukanya mbele ya kaunta Kisha ukaweka milioni 700 ukawaambia wazoe na wakutawaze na wakafanya hivyo!
Sasa hao wwnaolalamikiwa wanatoka idara gani?Zaidi wanatuhumiwa watendaji wake wasio waaminifu sio Idara nzima
Ni kweli kabisa. Bahati mbaya sana recruitment ya siku hizi sio kama zamani. Hawaangalii tena uwezo bali kujuana.Sasa hao wwnaolalamikiwa wanatoka idara gani?
Nasema hivi kwa sababu, baada ya wanasiasa kuliharibu jeshi la polisi sasa wamehamia idarani. Wanawapa kazi chafu zisizo na manufaa kwa taifa na hapo ndipo wanapowapa loophole ya kufanya yao kama wanadamu wa kawaida
Seems wanaangalia UTII KWA CHAMA na siyo Uzalendo kwa Nchi.Ni kweli kabisa. Bahati mbaya sana recruitment ya siku hizi sio kama zamani. Hawaangalii tena uwezo bali kujuana.
Ni sahihi kabisa. Wanataka kila mtu afikirie kama wao na kutenda kama wao.Seems wanaangalia UTII KWA CHAMA na siyo Uzalendo kwa Nchi.
Tunahitaji Taasisi imara zinazowajibika na kuwajibisha.
Huu mchezo wa kutudukua wananchi inaleta maana kuwa adui mkubwa wa nchi ni mwananchi anayekosoa
Yule ni jambazi mzoefu. Na yuko kwenye hizi njama za kumuumiza huyu jamaa.Kuna yule tajiri wa mabasi hapo Tarime ndiyo alijua namna nzuri ya kudeal na hao watu,
Nadhani anaitwa zakaria
Kila mmoja ake kimasta na chuma yake.Yule ni jambazi mzoefu. Na yuko kwenye hizi njama za kumuumiza huyu jamaa.
Si patachimbika sasa.Kila mmoja ake kimasta na chuma yake.
Ndiyo panatakiwa pachimbike ili muheshimiane muache kutekana.Si patachimbika sasa.
Washazoea kula nyama ya wanadamu. Hawataacha.Ndiyo panatakiwa pachimbike ili muheshimiane muache kutekana.
Nchi ina ujinga mwingi sana hiiHii nchi hata itokee katiba ya aina gani nchi ngumu sana hii