CP Camilius Wambura wanaopanga na Kuratibu maandamano watakiona

Troll JF

Platinum Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
10,592
Reaction score
15,404
Inspekta Jenerali Kamishna wa Polisi Camilius Wambura amewaonya vikali wale wote wanaoratibu na kupanga kufanya maandamano siku ya kupiga kura kuwa hawataachwa salama.

Ewe kijana tarehe 29/10 tafadhali kapige kura tulia nyumbani msiwape wazazi wenu ukiwa huwa wanatia huruma sana pale mnapokua hampatikani na kulia kwenye viunga vya mahakama.

Hao polisi watajigawa vipi kupambana na waandamanaji? Halafu mbona matamko ya vitisho yamekuwa mengi! Wanaogopa nini? Watulie mpaka hiyo siku ifike halafu watekeleze huo uovu wao ili dunia nayo ione kinacho endelea nchini kwa sasa.
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Inspekta Jenerali Kamishna wa Polisi Camilius Wambura amewaonya vikali wale wote wanaoratibu na kupanga kufanya maandamano siku ya kupiga kura kuwa hawataachwa salama.

Ewe kijana tarehe 29/10 tafadhali kapige kura tulia nyumbani msiwape wazazi wenu ukiwa huwa wanatia huruma sana pale mnapokua hampatikani na kulia kwenye viunga vya mahakama.

29/10 ndio ukombozi wa taifa letu kutoka kwa wakoloni weusi
 
Hao polisi watajigawa vipi kupambana na waandamanaji? Halafu mbona matamko ya vitisho yamekuwa mengi! Wanaogopa nini? Watulie mpaka hiyo siku ifike halafu watekeleze huo uovu wao ili dunia nayo ione kinacho endelea nchini kwa sasa.
Mbona wewe hujatulia kila sekunde unatoa comments za mikwara mtandaoni?
 
Inspekta Jenerali Kamishna wa Polisi Camilius Wambura amewaonya vikali wale wote wanaoratibu na kupanga kufanya maandamano siku ya kupiga kura kuwa hawataachwa salama.

Ewe kijana tarehe 29/10 tafadhali kapige kura tulia nyumbani msiwape wazazi wenu ukiwa huwa wanatia huruma sana pale mnapokua hampatikani na kulia kwenye viunga vya mahakama.

Blah blah tantarira nyiiingi mavi kabisa
 
Back
Top Bottom