Inspekta Jenerali Kamishna wa Polisi Camilius Wambura amewaonya vikali wale wote wanaoratibu na kupanga kufanya maandamano siku ya kupiga kura kuwa hawataachwa salama.
Ewe kijana tarehe 29/10 tafadhali kapige kura tulia nyumbani msiwape wazazi wenu ukiwa huwa wanatia huruma sana pale mnapokua hampatikani na kulia kwenye viunga vya mahakama.