That means vijana watatekwa?🤔msiwape wazazi wenu ukiwa huwa wanatia huruma sana pale mnapokua hampatikani na kulia kwenye viunga vya mahakama.
29/10 ndio ukombozi wa taifa letu kutoka kwa wakoloni weusiInspekta Jenerali Kamishna wa Polisi Camilius Wambura amewaonya vikali wale wote wanaoratibu na kupanga kufanya maandamano siku ya kupiga kura kuwa hawataachwa salama.
Ewe kijana tarehe 29/10 tafadhali kapige kura tulia nyumbani msiwape wazazi wenu ukiwa huwa wanatia huruma sana pale mnapokua hampatikani na kulia kwenye viunga vya mahakama.
Mbona wewe hujatulia kila sekunde unatoa comments za mikwara mtandaoni?Hao polisi watajigawa vipi kupambana na waandamanaji? Halafu mbona matamko ya vitisho yamekuwa mengi! Wanaogopa nini? Watulie mpaka hiyo siku ifike halafu watekeleze huo uovu wao ili dunia nayo ione kinacho endelea nchini kwa sasa.
Na mapenzi wanafanya😁Hawa jamaa hivi usiku wanalala wanapata usingizi kabisa?
Wana roho zao special sana 😁Na mapenzi wanafanya😁
Roho za aina yake🤌🏾Wana roho zao special sana 😁
Blah blah tantarira nyiiingi mavi kabisaInspekta Jenerali Kamishna wa Polisi Camilius Wambura amewaonya vikali wale wote wanaoratibu na kupanga kufanya maandamano siku ya kupiga kura kuwa hawataachwa salama.
Ewe kijana tarehe 29/10 tafadhali kapige kura tulia nyumbani msiwape wazazi wenu ukiwa huwa wanatia huruma sana pale mnapokua hampatikani na kulia kwenye viunga vya mahakama.