CP Camilius Wambura wanaopanga na Kuratibu maandamano watakiona


 
Mbona wewe hujatulia kila sekunde unatoa comments za mikwara mtandaoni?
Bado hujasema. Na hiyo tarehe 29, nitakuwa kwenye zile sub za dakika ya 89 ya mchezo. Yaani nitaingia uwanjani kwenda kupiga penati ya ushindi.
 
Sijasikia akiongelea utekaji kulikoni au wanaotekwa sio watanganyika??

IGP bilionea ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…