Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwembechai killings in 1998Operation gani Kali serious za kipolisi alishawahi endesha kwa ufanisi
Elezea
Waislamu mmeingia kazini eeh!Wajameni sihitaji kuongelea sura ya mtu, Imani, rangi au ukanda, hapa nazungumzia weledi na hofu ya Mungu. Huyu bwana ana busara, mweledi, mwelewa, ana hofu ya Mungu na ni Mchapakazi.
Kutokana kama kashfa nzito zinazolikabili jeshi la polisi hivi sasa, ni kweli linahitaji mtu aina ya Salum Hamduni. Waswahili wanasema myonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, huyu bwana anastahili nafasi hii. Uozo uliopo ndani ya Polisi unahitaji mtu makini na mfuatiliaji na siyo mpiga kelele tu.
IGP Siro siku zote tunasema ni Operational Officer na siyo National Leader, siyo mtu wa kufanya maamuzi ya kiuongozi ndiyo maana tunaona jeshi limemshinda, yeye alisikia tu kelele keshakimbia site na kupiga mikwara na kelele lakini mbinu za kumaliza tatizo hana. Hana mbinu za kisasa kulisimamia jeshi.
Mama ikimpendeza amteue Salum Hamduni kwenye nafasi hii, hanijui mimi kwa namna yeyote ile na wala simpigii promo lakini ninamfahamu kwa uchapa kazi wake.
Op kataa sabaya kule arusha[emoji23]Operation gani Kali serious za kipolisi alishawahi endesha kwa ufanisi
Elezea
Utabidi wako waweza timia ila nina wasiwasi na yule kamishna aliepandishwa vyeo juzi kati kule zanzibarWajameni sihitaji kuongelea sura ya mtu, Imani, rangi au ukanda, hapa nazungumzia weledi na hofu ya Mungu. Huyu bwana ana busara, mweledi, mwelewa, ana hofu ya Mungu na ni Mchapakazi.
Kutokana kama kashfa nzito zinazolikabili jeshi la polisi hivi sasa, ni kweli linahitaji mtu aina ya Salum Hamduni. Waswahili wanasema myonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, huyu bwana anastahili nafasi hii. Uozo uliopo ndani ya Polisi unahitaji mtu makini na mfuatiliaji na siyo mpiga kelele tu.
IGP Siro siku zote tunasema ni Operational Officer na siyo National Leader, siyo mtu wa kufanya maamuzi ya kiuongozi ndiyo maana tunaona jeshi limemshinda, yeye alisikia tu kelele keshakimbia site na kupiga mikwara na kelele lakini mbinu za kumaliza tatizo hana. Hana mbinu za kisasa kulisimamia jeshi.
Mama ikimpendeza amteue Salum Hamduni kwenye nafasi hii, hanijui mimi kwa namna yeyote ile na wala simpigii promo lakini ninamfahamu kwa uchapa kazi wake.
IGP Siro siku zote tunasema ni Operational Officer na siyo National Leader, siyo mtu wa kufanya maamuzi ya kiuongozi ndiyo maana tunaona jeshi limemshinda, yeye alisikia tu kelele keshakimbia site na kupiga mikwara na kelele lakini mbinu za kumaliza tatizo hana. Hana mbinu za kisasa kulisimamia jeshi.Wajameni sihitaji kuongelea sura ya mtu, Imani, rangi au ukanda, hapa nazungumzia weledi na hofu ya Mungu. Huyu bwana ana busara, mweledi, mwelewa, ana hofu ya Mungu na ni Mchapakazi.
Kutokana kama kashfa nzito zinazolikabili jeshi la polisi hivi sasa, ni kweli linahitaji mtu aina ya Salum Hamduni. Waswahili wanasema myonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, huyu bwana anastahili nafasi hii. Uozo uliopo ndani ya Polisi unahitaji mtu makini na mfuatiliaji na siyo mpiga kelele tu.
IGP Siro siku zote tunasema ni Operational Officer na siyo National Leader, siyo mtu wa kufanya maamuzi ya kiuongozi ndiyo maana tunaona jeshi limemshinda, yeye alisikia tu kelele keshakimbia site na kupiga mikwara na kelele lakini mbinu za kumaliza tatizo hana. Hana mbinu za kisasa kulisimamia jeshi.
Mama ikimpendeza amteue Salum Hamduni kwenye nafasi hii, hanijui mimi kwa namna yeyote ile na wala simpigii promo lakini ninamfahamu kwa uchapa kazi wake.
Asante sana kwa kupandisha uzi huuWajameni sihitaji kuongelea sura ya mtu, Imani, rangi au ukanda, hapa nazungumzia weledi na hofu ya Mungu. Huyu bwana ana busara, mweledi, mwelewa, ana hofu ya Mungu na ni Mchapakazi.
Kutokana kama kashfa nzito zinazolikabili jeshi la polisi hivi sasa, ni kweli linahitaji mtu aina ya Salum Hamduni. Waswahili wanasema myonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, huyu bwana anastahili nafasi hii. Uozo uliopo ndani ya Polisi unahitaji mtu makini na mfuatiliaji na siyo mpiga kelele tu.
IGP Siro siku zote tunasema ni Operational Officer na siyo National Leader, siyo mtu wa kufanya maamuzi ya kiuongozi ndiyo maana tunaona jeshi limemshinda, yeye alisikia tu kelele keshakimbia site na kupiga mikwara na kelele lakini mbinu za kumaliza tatizo hana. Hana mbinu za kisasa kulisimamia jeshi.
Mama ikimpendeza amteue Salum Hamduni kwenye nafasi hii, hanijui mimi kwa namna yeyote ile na wala simpigii promo lakini ninamfahamu kwa uchapa kazi wake.
Operation gani Kali serious za kipolisi alishawahi endesha kwa ufanisi
Elezea
Wanabadilikaga lingana na mfumo, kiujumla jeshi la police linatakiwa sukwa upya, sambamba na katiba mpyaWajameni sihitaji kuongelea sura ya mtu, Imani, rangi au ukanda, hapa nazungumzia weledi na hofu ya Mungu. Huyu bwana ana busara, mweledi, mwelewa, ana hofu ya Mungu na ni Mchapakazi.
Kutokana kama kashfa nzito zinazolikabili jeshi la polisi hivi sasa, ni kweli linahitaji mtu aina ya Salum Hamduni. Waswahili wanasema myonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, huyu bwana anastahili nafasi hii. Uozo uliopo ndani ya Polisi unahitaji mtu makini na mfuatiliaji na siyo mpiga kelele tu.
IGP Siro siku zote tunasema ni Operational Officer na siyo National Leader, siyo mtu wa kufanya maamuzi ya kiuongozi ndiyo maana tunaona jeshi limemshinda, yeye alisikia tu kelele keshakimbia site na kupiga mikwara na kelele lakini mbinu za kumaliza tatizo hana. Hana mbinu za kisasa kulisimamia jeshi.
Mama ikimpendeza amteue Salum Hamduni kwenye nafasi hii, hanijui mimi kwa namna yeyote ile na wala simpigii promo lakini ninamfahamu kwa uchapa kazi wake.
Jambo lingine muhimu alilonalo..sio mpenda rushwa wala kujipendekeza, aliteswa sana na viongozi wake kwani alikuwa hapeleki marupurupu kwao kama wafanyavyo ma RC wengine, ndio maana alihamishiwa mikoa mingi kwa muda mfupiOperation zote za Ugaidi hapa nchini ni kazi yake
Alifuzu mafunzo hayo Marekani miaka ya 2010
Muonekano wake ulisaidia sana kuwanasa Magaidi waliotaka kunajisi Taifa letu
Yule ametoka bara kwenda zanzibarUtabidi wako waweza timia ila nina wasiwasi na yule kamishna aliepandishwa vyeo juzi kati kule zanzibar
Kwani hawezi rudishwa tena huku?Yule ametoka bara kwenda zanzibar
Utabidi wako waweza timia ila nina wasiwasi na yule kamishna aliepandishwa vyeo juzi kati kule zanzibar
Kibiti,mtwara,kigoma,kagera hasa ngara,njombe,Tarime na maeneo mengineyo na kwote hali ni shwari kabisa.Operation gani Kali serious za kipolisi alishawahi endesha kwa ufanisi
Elezea
Hakuna kinachobadilika zaidi ya kusifu na kuabuduKwa michache tunayojua, hakupenda jeshi kufanya kazi za kisiasa za kudhibiti upinzani au za kihalifu kama kuteka raia na kuwaua kubambikia kesi, kupora mali na fedha, kulazimisha rushwa, na dhuluma nyingine nyingi. Mengine kumhusu hatuyajui, na hatuna sababu za kuyajua kuliko mamlaka za juu yake.
Kwa sifa hiyo pekee, Hamduni ni kiongozi anayefaa kuliondoa jeshi la polisi kwenye uozo lilikojiingiza au lilikoingizwa na wanasiasa. Pia yawezekana akawa kiongozi sahihi wa kusimamia mabadiliko "reforms" mbalimbali kw3nye jeshi hilo, ili kulisogeza kwa wananchi, na kulifanya liwe la wananchi, kuliko lilivyo sasa la serikali.
Mimi sina shida na Hamdun wala Senior commissioner yeyote yule kutoka Police. Hata Simon Sirro tunayembeza sasa hakuwa mbaya kihivyo kabla hajakuwa IGP. Sirro aliharibiwa na DIKTETA Magufuli, baada ya Magufuli kutengua uIGP wa Ernest Mangu aliyekuwako toka enzi za JK. Sirro alisoma hadi Seminari Kuu na alibakiza miaka 2 kuwa Padre wa Kanisa Katoliki. Mtaniuliza kwa nini alikubali kutumikia mfumo kandamizi? Angeweza kujitenga na maamuzi mabaya ya Magufuli pengine yangeweza kumkuta mabaya toka kwa yule shetani.Wajameni sihitaji kuongelea sura ya mtu, Imani, rangi au ukanda, hapa nazungumzia weledi na hofu ya Mungu. Huyu bwana ana busara, mweledi, mwelewa, ana hofu ya Mungu na ni Mchapakazi.