CR7 Alipuuzwa? Tatizo la Wachezaji Ureno

Gunner11

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
16,680
Reaction score
31,804
Hakika mpk sasa sielewi nini kili Fanya mpaka wakashindwa mechi ya jana?

Dominance ya mechi ilikua vizuri sana, pale katikati walikuwa vizuri kukata presha na kupasiana, ila kwenye counter ndo walikuwa wana delay kabisa, why jamaa hawakuwa wanampasia CR7?

High intensity game kama hii ilikua ni ya counter na kila muda ronaldo alikuwa a najaribu kufungua but those motherfukas walikua wana delay kabisa...

Tena huyu Bruno ndo kabisa zile cross zake sikuziona kabisa, ilikua kama yupo hayupo..

Mimi naona hawa washenzi walivyo ona ronaldo kasema yuko poa tu hata kama akitolewa ndo wakaona wamkomoe...

Ila, we all know it was possible kuchukua doo kabisa, ni lack of passion.. Na ndo kitu Argentina πŸ‡¦πŸ‡· wanacho, they've no top classical players but they're willing to lock in within every second of the game.

Hawa jamaa wachezaji wa Portugal πŸ‡΅πŸ‡Ή hawata enjoy their careers kwa upuuzi walofanya. It wiil eat them their entire career, bora hata Mendez he gave his all.

Let the GOAT 🐐 rest, winning πŸ₯‡ the world cup does not define his impact
 
Yes, mechi muhimu kama ile kosa moja unaadhibiwa.
I was dissappointed kabisa, jamma dominance walikuwa nayo, na focus muds wa mwisho kabisa ikawatoka
 
wachezaji wa ureno ni wabinafsi mno,
na wana wivu na tamaa binafsi za magoli ambazo hazijawahi kua na faida kwao binafsi na timu yao ya taifa kwa ujumla πŸ’
 
wachezaji wa ureno ni wabinafsi mno,
na wana wivu na tamaa binafsi za magoli ambazo hazijawahi kua na faida kwao binafsi na timu yao ya taifa kwa ujumla πŸ’
Unlike wachezaji wa Argentina ambao wanamtreat messi kama baba yao.
 
Let the GOAT 🐐 rest, winning πŸ₯‡ the world cup does not define his impact
Ronaldo kashakua Babu tayari asee ni sawa na yule kipa wa Cabe Verde aliekua anapewa misifa halafu Argentina leo wanaenda kumkanda Misri leo naziona goli nyingi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…