Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
hata mimi niliona Spain ni bora kuliko Portugal. Sikutegemea jana Portugal ipite mbele ya Spain licha ya Spain kuwa na safu butu ya ushambuliaji.Walishindwa kwasababu Spain ni bora kuliko Portugal kiuchezaji..
Why so?Well I'm thinking about taking a break
Kwahiyo ukikaa humu it stucks?My nervous system is at whack it needs rest
Yeah humu panaboa sana mpaka uwe na roho ngumu pia! Sijui kama ungekuwa ndio unatumia id yangu ungefanyaje😅 Kama huna cha kukukeep busy stay, ukiwa busy kaa pembeni! Ndio solution! Ila kama unaweza kumanage kuweka simu pembeni sio mbaya! Jipe muda wa kutosha..Noo soi humu tu, I think I have to put this damn phone aside for quite some time. Digital detox, japo pia kuna issues za humu zinaboa
Sure thing. Na mtu wa kuni keep busy si ananikwepa? 😂Yeah humu panaboa sana mpaka uwe na roho ngumu pia! Sijui kama ungekuwa ndio unatumia id yangu ungefanyaje😅 Kama huna cha kukukeep busy stay, ukiwa busy kaa pembeni! Ndio solution! Ila kama unaweza kumanage kuweka simu pembeni sio mbaya! Jipe muda wa kutosha..
Duh unategemea watu tena! We vibe na yoyote tu humu ambaye ana wenge mteme!Sure thing. Na mtu wa kuni keep busy si ananikwepa? 😂
Ligi anayocheza Haina ushindani wowoteUnajua kafunga magoli mangapi msimu uliopita? Na wangapi wenye umri 24-35 hawajafikisha idadi hiyo?
Okay..Noo I was joking, nilikua nakutania ww
Sasa kama Haina ushindani bingwa anapatikanaje!?Ligi anayocheza Haina ushindani wowote
Nafikiri umejionea mwenyewe maana ya GOAT kupitia MessiHe actually is the definition of nothing is impossible
Ureno tatizo la kwanza ni kocha, wakina Bruno, Neves, Vitinha, Bernado wanaonewa. Kocha alishindwa kujenga mfumo wa kuwatumia hawa viungo. Ureno kwenye haya mashindano, yeye ndie mwenye viungo bora kuliko timu yoyote ile na ndio maana hata Sir Alex juzi alimmind kocha wa Ureno, kwani Ureno inakila kitu, ila ilikosa muunganiko mzuri.Hakika mpk sasa sielewi nini kili Fanya mpaka wakashindwa mechi ya jana?
Dominance ya mechi ilikua vizuri sana, pale katikati walikuwa vizuri kukata presha na kupasiana, ila kwenye counter ndo walikuwa wana delay kabisa, why jamaa hawakuwa wanampasia CR7?
High intensity game kama hii ilikua ni ya counter na kila muda ronaldo alikuwa a najaribu kufungua but those motherfukas walikua wana delay kabisa...
Tena huyu Bruno ndo kabisa zile cross zake sikuziona kabisa, ilikua kama yupo hayupo..
Mimi naona hawa washenzi walivyo ona ronaldo kasema yuko poa tu hata kama akitolewa ndo wakaona wamkomoe...
Ila, we all know it was possible kuchukua doo kabisa, ni lack of passion.. Na ndo kitu Argentina 🇦🇷 wanacho, they've no top classical players but they're willing to lock in within every second of the game.
Hawa jamaa wachezaji wa Portugal 🇵🇹 hawata enjoy their careers kwa upuuzi walofanya. It wiil eat them their entire career, bora hata Mendez he gave his all.
Let the GOAT 🐐 rest, winning 🥇 the world cup does not define his impact
View attachment 3624108