DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Si unaona sasa kwa hiyo Messi mapafu ya mbwa au? 😂
Messi anatumia sana akili ya asili ndo kinachombeba every move is calculated.
Ronaldo ana kipaji ila amekuwa consistency kwa sababu ya kubeba vyuma na mazoezi makali
Sasa nguvu Huwa zina mwisho
Jana kama ulimuona wakati wa hydration amepewa mpaka kiti
Yule anabidi acheze dk 20 na acheze kipindi timu imeshafunga na sio kuanza uwanjani