CR7 Alipuuzwa? Tatizo la Wachezaji Ureno

CR7 Alipuuzwa? Tatizo la Wachezaji Ureno

Wasaliti watatu waliomsaliti Cristiano Maestro Madeira RonaldoView attachment 3624126
Takataka
Throw Away Norm Macdonald GIF by MOODMAN.gif
 
Wazee wa back pass, Ile mechi Yao na Croatia ndio maana ilikuwa ngumu Kwani Jamaa walikuwa wako direct, wao ni mbele Tu...Binafsi baada ya Ile mechi na Kongo nilihisi tu hawa hawafiki mbali Kwa mpira wao ule, Top team zote za kombe la dunia huwezi kuzifunga bila kupiga risk pass coz Kwa pass za kawaida Tu timu ziko well organized, Portugal wao Wana control tempo tu kidogo halafu wanapiga side ways pass kidogo Tu wamepokonywa mpira, Wale viungo wao zaidi kupiga back pass na one touch sijaona walichofanya zaidi ili kuleta ule ushindani hasa wa top team inavyopaswa kuwa...
 
Hakika mpk sasa sielewi nini kili Fanya mpaka wakashindwa mechi ya jana?

Dominance ya mechi ilikua vizuri sana, pale katikati walikuwa vizuri kukata presha na kupasiana, ila kwenye counter ndo walikuwa wana delay kabisa, why jamaa hawakuwa wanampasia CR7?

High intensity game kama hii ilikua ni ya counter na kila muda ronaldo alikuwa a najaribu kufungua but those motherfukas walikua wana delay kabisa...

Tena huyu Bruno ndo kabisa zile cross zake sikuziona kabisa, ilikua kama yupo hayupo..

Mimi naona hawa washenzi walivyo ona ronaldo kasema yuko poa tu hata kama akitolewa ndo wakaona wamkomoe...

Ila, we all know it was possible kuchukua doo kabisa, ni lack of passion.. Na ndo kitu Argentina 🇦🇷 wanacho, they've no top classical players but they're willing to lock in within every second of the game.

Hawa jamaa wachezaji wa Portugal 🇵🇹 hawata enjoy their careers kwa upuuzi walofanya. It wiil eat them their entire career, bora hata Mendez he gave his all.

Let the GOAT 🐐 rest, winning 🥇 the world cup does not define his impact
View attachment 3624108
IMG_0690.jpeg
 
Wazee wa back pass, Ile mechi Yao na Croatia ndio maana ilikuwa ngumu Kwani Jamaa walikuwa wako direct, wao ni mbele Tu...Binafsi baada ya Ile mechi na Kongo nilihisi tu hawa hawafiki mbali Kwa mpira wao ule, Top team zote za kombe la dunia huwezi kuzifunga bila kupiga risk pass coz Kwa pass za kawaida Tu timu ziko well organized, Portugal wao Wana control tempo tu kidogo halafu wanapiga side ways pass kidogo Tu wamepokonywa mpira, Wale viungo wao zaidi kupiga back pass na one touch sijaona walichofanya zaidi ili kuleta ule ushindani hasa wa top team inavyopaswa kuwa...
Hakika, they were afraid to take risks, na nddo kilicho waponza
 
Maisha yanaendelea ,kama ni bora atabaki kuwa bora ..Hayo ndiyo maisha ,hauwezi kufanikiwa kila nyanja ,hii haina maana kwa sio bora ,atabaki kuwa bora kwa upande wake.
 
Maisha yanaendelea ,kama ni bora atabaki kuwa bora ..Hayo ndiyo maisha ,hauwezi kufanikiwa kila nyanja ,hii haina maana kwa sio bora ,atabaki kuwa bora kwa upande wake.
img_3_1783403787473.jpg
 
Wachezaji wa Portugal wanazingua, wanadhani wanamkomoa cr7 kumbe wanajikomoa wenyewe
Yaani hao jamaa wameshajiharibia legacy yao... Nchi inaenda kuporomoka kisoka hawataamini kwanza saiz mashabiki Tyr wamesha hama timu
 
At 41 unakuwa you have nothing to offer .

Ndo maana umeona Jana hakuna alichoisaidia timu yake
Wewe ni hater tu, CR7 na umri huo kafanya vitu ambavyo wachezaji wengi wa mid30s hawawezi
 
Wewe ni hater tu, CR7 na umri huo kafanya vitu ambavyo wachezaji wengi wa mid30s hawawezi
You can't fight gravity

Miaka 41 ni umri sahihi wa kulea wajukuu na sio kushindana na ukweli

Mambo kama hayo anayaweza Messi.
 
You can't fight gravity

Miaka 41 ni umri sahihi wa kulea wajukuu na sio kushindana na ukweli

Mambo kama hayo anayaweza Messi.
Si unaona sasa kwa hiyo Messi mapafu ya mbwa au? 😂
 
Back
Top Bottom