Hamna kitu hapo magoli ya kuvizia
Ronaldo gets memorial shirt for 400th league goalView attachment 920821
Hayo ya kuvizia sasa hivi madrid wanayatafuta kweli.Hamna kitu hapo magoli ya kuvizia
Hayo ya kuvizia sasa hivi madrid wanayatafuta kweli.
Hayo ya kuvizia sasa hivi madrid wanayatafuta kweli.
Hatred will kill you bruh!, kumpenda messi kusikufanye umchukie ronaldo that is the way it is NHata huko Juventus yanatafutwa afunge tu. Nafikiria ndie forward anaeongoza kufunga magoli mabovu ulaya.
Hatred will kill you bruh!, kumpenda messi kusikufanye umchukie ronaldo that is the way it is N
Kwa hiyo ushakufa?Na mahaba yakupitiliza pia yanaua au huna habari?????
Kwa hiyo ushakufa?
HahahahahHivi hata aibu hamuoni kabisa kujitembeza vifua mbele kwa vigoli vya ndani ya six yard box?
Kama haya?Hata huko Juventus yanatafutwa afunge tu. Nafikiria ndie forward anaeongoza kufunga magoli mabovu ulaya.
Kama haya?
Roho mbaya na majungu.Hamna kitu hapo magoli ya kuvizia