Cr7 is back!(finally scored his first serie A goal)

Cr7 is back!(finally scored his first serie A goal)

[emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] ,sasa anafunga magoli yasiyo na kichwa na miguu,kaangalie nani anaongoza ulaya kwa magoli yenye pointi za ushindiiii,

Mojawapo ni lile siku ya Man Utd
emoji23.png
 
Mojawapo ni lile siku ya Man Utd
emoji23.png
braza cr7 anaongoza kwa magoli yenye point za ushindi kuliko dada benzema,alafu kwanza ni aibu kubwa kumfananisha ronaldo na benzemaa,utachekwaaaaa! messi tu angalau unaweza kumfananishaa
 
braza cr7 anaongoza kwa magoli yenye point za ushindi kuliko dada benzema,alafu kwanza ni aibu kubwa kumfananisha ronaldo na benzemaa,utachekwaaaaa! messi tu angalau unaweza kumfananishaa

Sijamlinganisha mtu na mtu yoyote mimi. Nimesema tu hivyo vigoli 10 mnavojivunia wapo wengi tu wameshayafunga. Kwahivyo I see nothing special mpaka sasa.
 
Heee aiseee hayo magoli kumi ya benzema yako wapi?mbona haonekani kwenye tano bora hapa
IMG_20181125_145622.jpg

Inaonekanwa hufahamu kama Benzema tayari ana goli 10 sawa na uzi za kipenzi chako ulitaka awe amefunga vipi tena?

Ila ukweli unachoma aisee
emoji23.png
 
Heee aiseee hayo magoli kumi ya benzema yako wapi?mbona haonekani kwenye tano bora hapaView attachment 945732

Itakua hujui kama Benzema ana goli 3 Champion league na pia Spanish cup ana 1. Ukijumlisha mdio yanakuwa 10. Kwani Ronaldo hayo 10 yote kayafunga kwenye ligi?
Na hivi mpaka match day 4 GOAT wako ana goli 1 tu ndani ya Champion League Duh !!!
1543148694648.png
 
Mkuu acha kukurupuka basi nimeweka magoli ya serie A.soma vizuri basi hapo
IMG_20181125_074422.jpg
na la liga haya hapa bila kujumlisha champion wala nini
IMG_20181125_145622.jpg
kuhusu champion league hio ni mechi ya pili kwa ronaldo kucheza dakika 90 ukiondoa ile ya red card goli,moja ni wastan kabisa.
Itakua hujui kama Benzema ana goli 3 Champion league na pia Spanish cup ana 1. Ukijumlisha mdio yanakuwa 10. Kwani Ronaldo hayo 10 yote kayafunga kwenye ligi?
Na hivi mpaka match day 4 GOAT wako ana goli 1 tu ndani ya Champion League Duh !!! View attachment 945744
Haya nimekuletea na benzema wako la liga ana goli 5 jumlisha hizo tatu za champs kwa mechi nne eeh!?na hilo moja sijui la kopa league,je la kumi umetoa wapi?au umechukua namba aliyopo ukaipachika kuwa ndio magoli aliyonayo?
IMG_20181125_153157.jpg
 
Mkuu acha kukurupuka basi nimeweka magoli ya serie A.soma vizuri basi hapoView attachment 945748 na la liga haya hapa bila kujumlisha champion wala niniView attachment 945750kuhusu champion league hio ni mechi ya pili kwa ronaldo kucheza dakika 90 ukiondoa ile ya red card goli,moja ni wastan kabisa.

Haya nimekuletea na benzema wako la liga ana goli 5 jumlisha hizo tatu za champs kwa mechi nne eeh!?na hilo moja sijui la kopa league,je la kumi umetoa wapi?au umechukua namba aliyopo ukaipachika kuwa ndio magoli aliyonayo?View attachment 945752

Kama kawaida yenu CR7 fans, hamuna habari kabisa na football zaidi ya kudili na Ronaldo.
Real walicheza UEFA Super Cup msimu huu, Na Benzema alifunga goli.
 
Mkuu uzi huu unahusu serie A alipo ronaldo na wala hatujamlinganisha na mtu. Muanzishie basi uzi benzema wako ili tuanze hesabu magoli yake. Wanazi wa Messi wamemuanzishia tupiapo basi magoli yake badala ya kuja kulia lia huku. Ukiitaja Real madrid hukosi kumtaja CR7 huko ujue,huto tugoli twa benzema Ronaldo alishatufunga enzi zake akiwa ndani ya chama kubwa. Saiv yupo zake juve huku benzema akichechemea na kuvunja rekodi kwa offsides

Nilijua huku ndiko utakoishia, Hayo ndio maneno ya mtu aliyeishiwa na Hoja.
1543164391789.png
 
Back
Top Bottom