Cr7 is back!(finally scored his first serie A goal)

Naona mupo kimya. PENALDO
1548147933975.png
1548147933975.png
1548147933975.png
1548147933975.png
1548147933975.png
1548147933975.png
1548147933975.png
 
Kwani kukosa penati ni ishu kiasi hicho au ndio mara ya kwanza kushuhudia? Tena timu ikibaki na ushindi
Huku wenzake wanakosaga fainali na timu zao za taifa penalt muhimu za kuibeba nchi wanapaisha

Sent using Jamii Forums mobile app

ukweli utaendelea kubakia kama jamaa alikua ndio worst player on the pitch
1548147933975-png.1001879
1548147933975-png.1001879
1548147933975-png.1001879
1548147933975-png.1001879
1548147933975-png.1001879
 
Goli la dakika ya 88 kwa mkwaju wa penati uliopigwa na Cristiano Ronaldo umeifanya Juventus kujisimika kileleni kwa tofauti ya alama 11.
Mchezo huo ulianza kwa Lazio kuwatangulia Juve katika dakika 59, Juve wakasawazisha kupitia Canselo dakika ya 74 na Ronaldo kupiga msumari wa pili na wa ushindi dakika mbili kabla ya mchezo.
Ronaldo alisajiliwa kwa dau la pauni milioni 99.2 mwaka jana, na tayari ameshaifungia Juventus magoli 17.

Mechi hiyo ilionekana kama Juve wataipoteza, na ingekuwa kipigo cha kwanza msimu huu kwa miamba hiyo.
Timu hiyo inayonolewa na Massimiliano Allegri sasa inaonekana dhahiri kunusa ubingwa wa Serie A kwa mara nane mfululizo baada ya timu inayowafukuzia ya Napoli kutoka sare na AC Milan.
 
MZee upo? Zawadi yako hiyo
1548147933975-png.1001879
1548147933975-png.1001879
1548147933975-png.1001879
1548147933975-png.1001879
1548147933975-png.1001879

2460137-51101450-2560-1440.jpg
 
Back
Top Bottom