Cr7 is back!(finally scored his first serie A goal)


Kwa uchache kila mchezaji alieko hapo Ronaldo kamzidi kwa alau mechi 2 mbele kwa kucheza. Mbali na kua yeye anamaliza dakika 90 kila mech. Magoli yanatafutwa kwa nguvu aisee. Juventus wanafanya rotation mpka ya keeper, Lakini CR7 haguswi kabisa, ili apate afunge magoli mengi
 
 
aiseeee mkuu kwa kweli wewe humpendi ronaldo,hapa unaongea unafki tu,et wachezaji wanafanyiwa rotation,sasa kwani ushaiona messi anafanyiwa sijui rotation akiwa mzima kabisa,nakuona una gubu na roho yako inakukereketa hivi ronaldo akifanikiwa huko italia huku madrid mkizidi kushuka tu,sasa hayo magoli ya kuvizia mbona hao akina bale na dada yake benzema hawayafungi mzeee? jana mmepigwa kwa mara ya kwanza na eibar [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24][emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24][emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
huu ujumbe ni wa dos.2020
 

Inaonekanwa hufahamu kama Benzema tayari ana goli 10 sawa na uzi za kipenzi chako ulitaka awe amefunga vipi tena?

Ila ukweli unachoma aisee
 
Inaonekanwa hufahamu kama Benzema tayari ana goli 10 sawa na uzi za kipenzi chako ulitaka awe amefunga vipi tena?

Ila ukweli unachoma aisee
[emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] ,sasa anafunga magoli yasiyo na kichwa na miguu,kaangalie nani anaongoza ulaya kwa magoli yenye pointi za ushindiiii,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…