Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseee nahisi umeweka notification kabisaa kwenye huu uzi. Welcome another CR7 fan
10th goal,huh?!😂
Safi.Kwahiyo bao 9 kwa Serie A au 10 kwa mashindano yote?
Safi,unawakilisha njema
Nimekupata vizuri sana.Hilo ni bao la 9
Ukisema 10 unakua unajumuisha na lile la UEFA champs
Kwa uchache kila mchezaji alieko hapo Ronaldo kamzidi kwa alau mechi 2 mbele kwa kucheza. Mbali na kua yeye anamaliza dakika 90 kila mech. Magoli yanatafutwa kwa nguvu aisee. Juventus wanafanya rotation mpka ya keeper, Lakini CR7 haguswi kabisa, ili apate afunge magoli mengi![]()
![]()
![]()
huu ujumbe ni wa dos.2020aiseeee mkuu kwa kweli wewe humpendi ronaldo,hapa unaongea unafki tu,et wachezaji wanafanyiwa rotation,sasa kwani ushaiona messi anafanyiwa sijui rotation akiwa mzima kabisa,nakuona una gubu na roho yako inakukereketa hivi ronaldo akifanikiwa huko italia huku madrid mkizidi kushuka tu,sasa hayo magoli ya kuvizia mbona hao akina bale na dada yake benzema hawayafungi mzeee? jana mmepigwa kwa mara ya kwanza na eibar [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24][emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24][emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
aiseeee mkuu kwa kweli wewe humpendi ronaldo,hapa unaongea unafki tu,et wachezaji wanafanyiwa rotation,sasa kwani ushaiona messi anafanyiwa sijui rotation akiwa mzima kabisa,nakuona una gubu na roho yako inakukereketa hivi ronaldo akifanikiwa huko italia huku madrid mkizidi kushuka tu,sasa hayo magoli ya kuvizia mbona hao akina bale na dada yake benzema hawayafungi mzeee? jana mmepigwa kwa mara ya kwanza na eibar [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24][emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24][emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
[emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] ,sasa anafunga magoli yasiyo na kichwa na miguu,kaangalie nani anaongoza ulaya kwa magoli yenye pointi za ushindiiii,Inaonekanwa hufahamu kama Benzema tayari ana goli 10 sawa na uzi za kipenzi chako ulitaka awe amefunga vipi tena?
Ila ukweli unachoma aisee![]()