Cr7 is back!(finally scored his first serie A goal)


Mojawapo ni lile siku ya Man Utd
 
Mojawapo ni lile siku ya Man Utd
braza cr7 anaongoza kwa magoli yenye point za ushindi kuliko dada benzema,alafu kwanza ni aibu kubwa kumfananisha ronaldo na benzemaa,utachekwaaaaa! messi tu angalau unaweza kumfananishaa
 
braza cr7 anaongoza kwa magoli yenye point za ushindi kuliko dada benzema,alafu kwanza ni aibu kubwa kumfananisha ronaldo na benzemaa,utachekwaaaaa! messi tu angalau unaweza kumfananishaa

Sijamlinganisha mtu na mtu yoyote mimi. Nimesema tu hivyo vigoli 10 mnavojivunia wapo wengi tu wameshayafunga. Kwahivyo I see nothing special mpaka sasa.
 
Heee aiseee hayo magoli kumi ya benzema yako wapi?mbona haonekani kwenye tano bora hapa
Inaonekanwa hufahamu kama Benzema tayari ana goli 10 sawa na uzi za kipenzi chako ulitaka awe amefunga vipi tena?

Ila ukweli unachoma aisee
 
Heee aiseee hayo magoli kumi ya benzema yako wapi?mbona haonekani kwenye tano bora hapaView attachment 945732

Itakua hujui kama Benzema ana goli 3 Champion league na pia Spanish cup ana 1. Ukijumlisha mdio yanakuwa 10. Kwani Ronaldo hayo 10 yote kayafunga kwenye ligi?
Na hivi mpaka match day 4 GOAT wako ana goli 1 tu ndani ya Champion League Duh !!!
 
Mkuu acha kukurupuka basi nimeweka magoli ya serie A.soma vizuri basi hapo na la liga haya hapa bila kujumlisha champion wala ninikuhusu champion league hio ni mechi ya pili kwa ronaldo kucheza dakika 90 ukiondoa ile ya red card goli,moja ni wastan kabisa.
Haya nimekuletea na benzema wako la liga ana goli 5 jumlisha hizo tatu za champs kwa mechi nne eeh!?na hilo moja sijui la kopa league,je la kumi umetoa wapi?au umechukua namba aliyopo ukaipachika kuwa ndio magoli aliyonayo?
 

Kama kawaida yenu CR7 fans, hamuna habari kabisa na football zaidi ya kudili na Ronaldo.
Real walicheza UEFA Super Cup msimu huu, Na Benzema alifunga goli.
 
Mkuu uzi huu unahusu serie A alipo ronaldo na wala hatujamlinganisha na mtu. Muanzishie basi uzi benzema wako ili tuanze hesabu magoli yake. Wanazi wa Messi wamemuanzishia tupiapo basi magoli yake badala ya kuja kulia lia huku. Ukiitaja Real madrid hukosi kumtaja CR7 huko ujue,huto tugoli twa benzema Ronaldo alishatufunga enzi zake akiwa ndani ya chama kubwa. Saiv yupo zake juve huku benzema akichechemea na kuvunja rekodi kwa offsides
Kama kawaida yenu CR7 fans, hamuna habari kabisa na football zaidi ya kudili na Ronaldo.
Real walicheza UEFA Super Cup msimu huu, Na Benzema alifunga goli.
 

Nilijua huku ndiko utakoishia, Hayo ndio maneno ya mtu aliyeishiwa na Hoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…