Cr7 is back!(finally scored his first serie A goal)

Cr7 is back!(finally scored his first serie A goal)

Refa katumwa mfyuuuuu zake
1537386075144.gif
1537386135148.gif
1537385867688.gif
1537386113327.gif

Numbisa una GIF CR7 akipewa nyekundu huko? msaada.
 
He is great ndo maana wanamuandama,pheeewiiii
 
He great ndo maana wanamuandama,pheeewiiii
CR7 katufanyia makubwa Realmadrid lakini kitendo chake cha kulazimisha kuhama, na kujiona kama yeye ndiye aliyeianzisha hiyo club kinanifanya nimuone kama mtu wa tamaa, alipewa kila kitu alipendelewa afunge yeye tu na sifa apate yeye lakini hakuridhika
 
Haters mpo vizuri dah mnatia huruma sana
CR7 katufanyia makubwa Realmadrid lakini kitendo chake cha kulazimisha kuhama, na kujiona kama yeye ndiye aliyeianzisha hiyo club kinanifanya nimuone kama mtu wa tamaa, alipewa kila kitu alipendelewa afunge yeye tu na sifa apate yeye lakini hakuridhika
Ni great kwa vibonde wanaojua wanajua tu
 
Valencia wanacheza faulo sana magoli yote yatakua penalt
 
Kobo tatizo refa sijui amewezaje kutoa red angemgonga yellow........ila sio mbaya acha tushinde game mambo ni motoooooo
Hatry sana bt chamsing ushind maana hat trik kwaleo isha ingia doa
 
Dah..!

All I know the golden boot belongs to CR7.
 
Back
Top Bottom