CR7, mchezaji mjivuni asiye na kipaji

Messi
Pele
Maradona
Gaucho
Zidane
Zico
Ronaldo de Lima
Rivaldo.
Iniesta
Xavi..
Mbappe.
Ngolo Kante..
.
Unamkosea heshima Busquests kutokuwepo alafu kinyago kante kipo
 
Itoshe tu kusema mjivuni, lakini kusema Hana kipaji!!! Lala tu usihangaike.
 
Unazi mbaya, kama unadhani mafanikio aliyopata yanatokana na juhudi na upambanaji tu nafikiri wachezaji wote wangeyapata. Karibu kumwambia hata mdogo wako apambane nadhani ataweza.
 
Alisikika mlevi mmoja wa Tegeta kwa ndevu kwa nyuma kidoogo
 
Huu utahira umeanza lini??, Dunia ya mpira haitakuja kushuhudia watu Kama Cr7 na Messi!!.
 
Kaf
Fuatilia kombe la dunia 2006 haf uniambie timu zipi zilifika nusu fainali sio unaropoka tu
 
Kwa hyo giroud ndio anastahili balon do'r kwasababu ana world cup huu utumwa mwingine sometimes unatoa akili
 
Kafanye mazoezi na wewe uone kama utafika hata robo ya mafanikio yake.
 
Hata fainal WC haijui unamlinganisha na hao
Angalia wachezaji wanaomzunguka Messi halafu angalia na wale wa Ronaldo itakusaidia kupata jibu ni kwanini George Weah hajawahi kucheza mechi hata moja ya Kombe la dunia.
 
Mimi siye shabiki wa CR7 ila hapa naona kabsa hujui mpira ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…