Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa umezungumzia status za wc saizi umehamia uefa mbona haueleweki.Status gani anayozidiwa mpape yeye mwenyewe apambane apate ata ka UEFA
2006 hukuwa umezaliwa mkuu au ulikuwa kijiji sana?Haujui ata utamu wa nusu final WC
Itoshe tu kusema mjivuni, lakini kusema Hana kipaji!!! Lala tu usihangaike.Habari za mda huu,
Leo katika pita pita zangu mtandaoni nimeona bwana CR7 Hajawahi hata kufika semi final world cup
Yaani kiufupi status yake kwenye kombe ya dunia anazidiwa na Zyech, licha ya kuzungukwa na Bruno, Bernado, Cancelo, Neves nk.
Huyu hakika ni mchezaji wa kawaida sana.
PROFESSIONAL MIDIOCORE PLAYER
Aishie kusema hayo mengine, lakini kuhusu kipaji huo ni ulofa. Kama Ronaldo Hana kipaji Sasa kipaji kina maana gani?CR7 hana kipaji? Ongeza vizuri na halmashauri ya kichwa chako muone kama mnaweza kusema vinginevyo
Unazi mbaya, kama unadhani mafanikio aliyopata yanatokana na juhudi na upambanaji tu nafikiri wachezaji wote wangeyapata. Karibu kumwambia hata mdogo wako apambane nadhani ataweza.Habari za mda huu,
Leo katika pita pita zangu mtandaoni nimeona bwana CR7 Hajawahi hata kufika semi final world cup
Yaani kiufupi status yake kwenye kombe ya dunia anazidiwa na Zyech, licha ya kuzungukwa na Bruno, Bernado, Cancelo, Neves nk.
Huyu hakika ni mchezaji wa kawaida sana.
PROFESSIONAL MIDIOCORE PLAYER
Mbappe kipaji sidhan,anajituma sana na sio dhambiMessi
Pele
Maradona
Gaucho
Zidane
Zico
Ronaldo de Lima
Rivaldo.
Iniesta
Xavi..
Mbappe.
Ngolo Kante..
.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umeuaKumbe Unajua Ronaldo mwenzake ni Messi,basi case closed [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Hata umri hawalingani,inamana hakuna players wengne wenye hyo age had umtaje cr7Ki umri
Alisikika mlevi mmoja wa Tegeta kwa ndevu kwa nyuma kidoogoHabari za mda huu,
Leo katika pita pita zangu mtandaoni nimeona bwana CR7 Hajawahi hata kufika semi final world cup
Yaani kiufupi status yake kwenye kombe ya dunia anazidiwa na Zyech, licha ya kuzungukwa na Bruno, Bernado, Cancelo, Neves nk.
Huyu hakika ni mchezaji wa kawaida sana.
PROFESSIONAL MIDIOCORE PLAYER
Huu utahira umeanza lini??, Dunia ya mpira haitakuja kushuhudia watu Kama Cr7 na Messi!!.Habari za mda huu,
Leo katika pita pita zangu mtandaoni nimeona bwana CR7 Hajawahi hata kufika semi final world cup
Yaani kiufupi status yake kwenye kombe ya dunia anazidiwa na Zyech, licha ya kuzungukwa na Bruno, Bernado, Cancelo, Neves nk.
Huyu hakika ni mchezaji wa kawaida sana.
PROFESSIONAL MIDIOCORE PLAYER
Fuatilia kombe la dunia 2006 haf uniambie timu zipi zilifika nusu fainali sio unaropoka tuHabari za mda huu,
Leo katika pita pita zangu mtandaoni nimeona bwana CR7 Hajawahi hata kufika semi final world cup
Yaani kiufupi status yake kwenye kombe ya dunia anazidiwa na Zyech, licha ya kuzungukwa na Bruno, Bernado, Cancelo, Neves nk.
Huyu hakika ni mchezaji wa kawaida sana.
PROFESSIONAL MIDIOCORE PLAYER
Kafanye mazoezi na wewe uone kama utafika hata robo ya mafanikio yake.Cristian Ronaldo Hana kipaji.
Ni kweli ni Mchezaji Mpambanaji,Mtu wa kutumia mbio na misuri.
Si mtaalami wa kupasia.
Mesi ni Mchezaji mwenye kipaji Cha Hali ya Juu.
Hata asipofanaya Mazoezi Mwaka mzima Bado at perform vizuri Uwanjani.
Ana skills na Ufundi.
C.Ronaldo ana bidii na jitihada
Angalia wachezaji wanaomzunguka Messi halafu angalia na wale wa Ronaldo itakusaidia kupata jibu ni kwanini George Weah hajawahi kucheza mechi hata moja ya Kombe la dunia.Hata fainal WC haijui unamlinganisha na hao
Mimi siye shabiki wa CR7 ila hapa naona kabsa hujui mpira nduguHabari za mda huu,