Mzee Wa Kazi Chafu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2022
- 2,245
- 4,966
Habari za mda huu,
Leo katika pita pita zangu mtandaoni nimeona bwana CR7 Hajawahi hata kufika semi final world cup
Yaani kiufupi status yake kwenye kombe ya dunia anazidiwa na Zyech, licha ya kuzungukwa na Bruno, Bernado, Cancelo, Neves nk.
Huyu hakika ni mchezaji wa kawaida sana.
PROFESSIONAL MIDIOCORE PLAYER
Ronaldo alikuwepo kwenye kikosi?
2011 messi alipowalambisha man u udongoDuh! Wewe Mpira Umeanza Kufuatilia Mwaka Gani?? [emoji23]
2011 messi alipowalambisha man u udongo
OkayKumbe Umeanza Kufuatilia Mpira 2011?! [emoji23][emoji23][emoji23] Haya Kakojoe Ukalale..[emoji23][emoji23]