Mzee Wa Kazi Chafu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2022
- 2,245
- 4,966
Habari za mda huu,
Leo katika pita pita zangu mtandaoni nimeona bwana CR7 Hajawahi hata kufika semi final world cup
Yaani kiufupi status yake kwenye kombe ya dunia anazidiwa na Zyech, licha ya kuzungukwa na Bruno, Bernado, Cancelo, Neves nk.
Huyu hakika ni mchezaji wa kawaida sana.
PROFESSIONAL MIDIOCORE PLAYER
Ronaldo Hana Kipaji??!, Hujui Mpira Wewe Bwege, 2006 World Cup Ronaldo Alifika Semi Final..