CR7, mchezaji mjivuni asiye na kipaji

CR7, mchezaji mjivuni asiye na kipaji

Habari za mda huu,

Leo katika pita pita zangu mtandaoni nimeona bwana CR7 Hajawahi hata kufika semi final world cup

Yaani kiufupi status yake kwenye kombe ya dunia anazidiwa na Zyech, licha ya kuzungukwa na Bruno, Bernado, Cancelo, Neves nk.

Huyu hakika ni mchezaji wa kawaida sana.

PROFESSIONAL MIDIOCORE PLAYER

Ronaldo Hana Kipaji??!, Hujui Mpira Wewe Bwege, 2006 World Cup Ronaldo Alifika Semi Final..
 
Watakuua ohoooo[emoji23][emoji23][emoji23]wana hasira sana messi kachukua wc
 
Back
Top Bottom