Cr7 Safari ndio imeishia hapo?

watu wakikushauri usijitie kiburi na ujivuni. hizo xx waachie mabinti wa sekondari. ukiandika hivyo hata ukiwa na hoja nzuri itadharauliwa.
Wacha kujadili kwa mapenzi na kebehi waachie mabinti ndio nn,ushauri gn unaonipa au niliopewa sijakuja kufundishwa jinsi ya kuandika umeelewa sawa ujaelewa mwingine ataelewa sio kujifanya walimu wa mwandiko
 
Cha kushangaza Mpinzani (Lionel Messi) wake ana magoli 14 ktk mechi 11 ilihali alikuwa majeruhi na kuwa nje ya uwanja kwa wiki 3 huku Cr7 akiendelea kucheza.
Aha ha ha ha ha ha ha ha!
 
Hivi majeruhi gan hayo yasio insha? Mechi ya Tisa bado unasema majeruhi

Mbona andunje alikuwa majeruhi wikiwiki tatu ila alipo rudi uwanjani bado yupo moto
Aliporudi uwanjani Game ya kwanza katupia moja, wakaja Man City kaweka 3, Jmosi kaweka tena mbili.
 
Aha ha ha ha ha ha ha hapo ndipo hata mimi huyu mhuni huwa ananifurahisha. Ronaldo akiwaokota anawaokota kweli.
 
Watoto wakike na mashoga fb na insta kina james delicious ndio wanaandika hizo lugha
Kwaiyo unamaanisha mimi shoga si ndio kwa kua tu nimetumia neno xx ok usiendelee kunitukana tufanye ww ndio kidume alafu mim shoga,lkn sio mtumwa natumia neno lolote ili mladi tu nisimtusi mtu au kuvunja sheria wew una mamlaka ya kunichagulia neno la kutumia zaidi ya kunikashifu na kunitulea lugha ya maudhi..siitaji kujadili kwa kashfa sitokukashifu na nimekusamehe
 
Na kumtukana Messi, tunadharau neema ya mungu aliyotupatia Messi kizazi hiki.
Tuna amino kwamba Messi ndio bora hivyo basis ubora wake ili utimie basi awape world cup Argentina basis hapo ndipo will go in history books as the greatest of his time
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…