Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,094
Niamini mimi cr 7 anachukua, asipo chukua nahamia Burundi skai tena bongo.Atapata vipi hiyo balon wakati mcmu huu hajafanya chochote cha maana, hata goli la kuotea hana? Messi is back @ iceman.... katoka majeruhi kadhalilisha mabeki wa watu wenye heshima zao na makipa bora duniani wenye heshima zao alaf unathubutu kusema balon de or inamhusu?
Ila nahisi atakuwa ndo kamaliza mpira wake baada ya hapo