Cr7 Safari ndio imeishia hapo?

Cr7 Safari ndio imeishia hapo?

Messi sijamuona kwenye list ya wanaowania tuzo ya Ballon .....
 
Hivi majeruhi gan hayo yasio insha? Mechi ya Tisa bado unasema majeruhi

Mbona andunje alikuwa majeruhi wikiwiki tatu ila alipo rudi uwanjani bado yupo moto
Messi alipotoka wiki tatu majeruhi siku alipoanza ile kuingia sub tu dakika ya 3 toka aingie akatikisa nyavu
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Tuna amino kwamba Messi ndio bora hivyo basis ubora wake ili utimie basi awape world cup Argentina basis hapo ndipo will go in history books as the greatest of his time
hivi toka lini kuchukua kombe la dunia ni kigezo cha uchezaji bora? nilifikiri tunaangalia statistics uwanjani kama dribbles, pass, pass accuracy, tackles, goals, saves, cleansheets etc.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Tuna amino kwamba Messi ndio bora hivyo basis ubora wake ili utimie basi awape world cup Argentina basis hapo ndipo will go in history books as the greatest of his time
Mbona Maradona ni bora sana, tena anafananishwa Pele ila hajabeba UEFA!? Kama WC ndo kigezo basi Pique na Ramos wapo juu kuliko Ronaldo De Lima.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Mbona Maradona ni bora sana, tena anafananishwa Pele ila hajabeba UEFA!? Kama WC ndo kigezo basi Pique na Ramos wapo juu kuliko Ronaldo De Lima.
De lima ana WC zake 2 zimetulia
Kabsa
 
Messi man of the match hili halina ubishi!

Na kwanini messi hadrop kama playerZ wengine? Miaka mingapi tangia aingie kucheza? From Newell’s Old Boys to Barcelonistas lakini jamaa anazidi kupendeza zaidi? Jamani hamuyaoni hayo?
 
Nakusalimu "mambo vipi Iceman kimya" kulikoni! Au bado unauguza maumivu ya juzi kukosa magoli mengi kwa mesi angishapiga 6G😀
Hahahaa
Daaah cr 7 amenitia aibu sana, ngoja tu achukue ballon d or yake astaafu sasa.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Messi man of the match hili halina ubishi!

Na kwanini messi hadrop kama playerZ wengine? Miaka mingapi tangia aingie kucheza? From Newell’s Old Boys to Barcelonistas lakini jamaa anazidi kupendeza zaidi? Jamani hamuyaoni hayo?
Mbona kuna mechi Messi huwa ana flop asee
Au huwa huangali!?
 
Hahahaa
Daaah cr 7 amenitia aibu sana, ngoja tu achukue ballon d or yake astaafu sasa.

Atapata vipi hiyo balon wakati mcmu huu hajafanya chochote cha maana, hata goli la kuotea hana? Messi is back @ iceman.... katoka majeruhi kadhalilisha mabeki wa watu wenye heshima zao na makipa bora duniani wenye heshima zao alaf unathubutu kusema balon de or inamhusu?
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom