Andika vizuri wewe k***.Acha ushamba nakujisikia toa hoja mambo ya fb yanahusiana nn na hapa
Ulistahili weweinatokea nini wewe
Yule mmoroco kashaisha na uzee unammaliza vibaya hata tuzo ya UEFA hakustail
Sio goli ni magoliJana kakosa goli yeye na kipa
Bahati nzuri sina tabia za kike km zako kutafuta vikosa vidogo ili vikupe kikiAndika vizuri wewe k***.
Messi alipotoka wiki tatu majeruhi siku alipoanza ile kuingia sub tu dakika ya 3 toka aingie akatikisa nyavuHivi majeruhi gan hayo yasio insha? Mechi ya Tisa bado unasema majeruhi
Mbona andunje alikuwa majeruhi wikiwiki tatu ila alipo rudi uwanjani bado yupo moto
Messi hana mpinzani hadi DKK hiiila kusema Cr7 ni mpinzani wa Messi ni kumuonea Messi.
Ulijisikiaje wakati unamuangalia Messi dhidi ya Man City?CR7 kwa kweli ameniangusha sana, alivo kosa lile goli nikazima tv
hivi toka lini kuchukua kombe la dunia ni kigezo cha uchezaji bora? nilifikiri tunaangalia statistics uwanjani kama dribbles, pass, pass accuracy, tackles, goals, saves, cleansheets etc.Tuna amino kwamba Messi ndio bora hivyo basis ubora wake ili utimie basi awape world cup Argentina basis hapo ndipo will go in history books as the greatest of his time
Kitu ambacho huwezi ukakiona kwa Messi.Jana kakosa goli yeye na kipa
Mbona Maradona ni bora sana, tena anafananishwa Pele ila hajabeba UEFA!? Kama WC ndo kigezo basi Pique na Ramos wapo juu kuliko Ronaldo De Lima.Tuna amino kwamba Messi ndio bora hivyo basis ubora wake ili utimie basi awape world cup Argentina basis hapo ndipo will go in history books as the greatest of his time
Hapo umedangamya kijanainatokea nini wewe
Yule mmoroco kashaisha na uzee unammaliza vibaya hata tuzo ya UEFA hakustail
De lima ana WC zake 2 zimetuliaMbona Maradona ni bora sana, tena anafananishwa Pele ila hajabeba UEFA!? Kama WC ndo kigezo basi Pique na Ramos wapo juu kuliko Ronaldo De Lima.
Hapo umedangamya kijana
Tuzo ya UEFA alistahil kabsa
HahahaMkuu siku hizi unaringa sana eti...
HahahaaNakusalimu "mambo vipi Iceman kimya" kulikoni! Au bado unauguza maumivu ya juzi kukosa magoli mengi kwa mesi angishapiga 6G😀
Mbona kuna mechi Messi huwa ana flop aseeMessi man of the match hili halina ubishi!
Na kwanini messi hadrop kama playerZ wengine? Miaka mingapi tangia aingie kucheza? From Newell’s Old Boys to Barcelonistas lakini jamaa anazidi kupendeza zaidi? Jamani hamuyaoni hayo?
Hahahaa
Daaah cr 7 amenitia aibu sana, ngoja tu achukue ballon d or yake astaafu sasa.