Cr7 Safari ndio imeishia hapo?

Niamini mimi cr 7 anachukua, asipo chukua nahamia Burundi skai tena bongo.
Ila nahisi atakuwa ndo kamaliza mpira wake baada ya hapo
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kaanzage kuomba uraia
 
Niamini mimi cr 7 anachukua, asipo chukua nahamia Burundi skai tena bongo.
Ila nahisi atakuwa ndo kamaliza mpira wake baada ya hapo

πŸ˜€πŸ˜€kitu gani alichofanya cha maana? Hahahaa Kinachowapa matumaini ni European award ambayo hakustahili hata kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…