Crack the password

Crack the password

042 ndiyo jibu sahihi.

Mwalimu wa math nimesahihisha.

Kwa mliokosa, mtaelewa kwenye correction.

Correction: 042.
 
exactly

Mara ya kwanza sikusoma vizuri maelezo ya namba 614 hivyo nikaweka 012, nilipopitia upya baada ya AKAN kunichallenge nikapa jibu ni 042.
U got a brain

Nilizisoma kwa ku cancel number then namba zilizobaki nikazisoma kwa position
 
Linko.., mbona kama umetelekeza uzi 😁😁😁
 
This problem is not as simple as people may imagine! There is a lot of mathematical permutations that need to be done here
I will be back
 
Back
Top Bottom