Crack the password

Crack the password

umekosea number moja tu
Hapana amepata; unless kama framing ya swali lako ina ambiguity; labda kama swali lako liko ambiguos.

Kwa mfano. kama ulimaanisha kuwa 7, 3 na 8, siyo mojawapo ya hizo digits kwamba zenyewe hazitumiki kabisa, basi amepata; isipokuwa kama ulimaanisha kuwa zimewekwa sehemu ambayo siyo sahihi ila zinatumika, then hapo unaweza ukasema kuwa amekosa. kutokana na swali lako kuwa ambiguous

By the way, ulipokuwa unasema kuwa 738 NOTHING IS CORRECT, ulikuwa unamanisha nini?
Ulikuwa unamaanisha kwamba 738 zipo ila zimewekwa kwenye nafasi ambazo si sahihi kwa kila mojawapo au ulimaanisha kuwa hazitumiki kabisa na kwamba hazitakiwi kuwepo kwenye password?

Kumbuka kuwa kuna ambiguity kwenye puzzle yako pia

Ukinijuibu hili swali nitakuletea majibu yangu ambayo ninayo tayari

msopo
 
maelezo yaliyo chini ya namba 682 yanaifanya 6 isiwe katikati.
Rudia tena kuyasoma maelezo hayo hujayaelewa. Kinachosemwa kwenye mfungu mawili ya mwanzo ni kwamba namba 6 haiwezi kuwa ya kwanza, ila inaweza kuwa ya pili au ya tatu.

Soma hapa

CONSIDERING THE FIRST SECOND CASE SCENARIOS

Either 2 or 8 is well placed but not 6
Either 1 or 4 is NOT well placed but NOT 6

This is because the number 6 appears first in both cases but is said to have been

wrongly placed in the 2nd case scenario implying that the first digit cannot be 6

Therefore the first digit is either 1, 2, 4 OR 8

CONSIDERING THE THIRD CASE SCENARIO

2 0 6 TWO NUMBERS ARE CORRECT BUT WRONGLY PLACED

The two correct numbers BUT WRONGLY PLACED are EITHER 20, 26, 02, 06,60, 62
However, we still need to remember that 6 CANNOT BE THE FIRST DIGIT. So we

eliminate the options of the digits 60 and 62 and remain with combination options

of the digits 20, 26, 02 and 06

So, any of these FOUR combination options are the correct numbers; ONLY that they are wrongly placed
Now, assuming some combinations of these numbers THOUGH wrongly placed
Their correct placement may be as follows:
20: must appear as -20;-02; 0-2; 02-;

26: must appear as -26;-62; 6-2; 62-; (here again; we eliminate the last two

options because 6 cannot be the first digit)
Therefore for a combination of 26 we remain with the options
26: must appear as -26 and -62 ONLY

02: must appear as --20;--02; 0--2; 02--; which has the same combinations of digits like that of 20

Finally;
06: must appear as -60;-06; 0-6; 06-;

CONSIDERING THE FOURTH CASE SCENARIO
7 3 and 8 are not among the three numbers

CONSIDERING THE FIFTH CASE SCENARIO
Zero (0) is among the three numbers but is placed in the wrong position; third position

Therefore zero is supposed to be the in either a FIRST OR SECOND digit position
Now, going back to our first scenario of combinations of the digits 6 8 2 we find that

6 IS NOT SUPPOSED TO BE THE FIRST DIGIT, BUT IT CAN BE THE SECOND OR THE THIRD
8 IS NOT OF THE DIGITS FORMING THE THREE NUMBERS
ONE OF THE NUMBERS IS CORRECTLY PLACED, WHICH IS 2 AND ITS IN THE THIRD POSITION

Therefore the third position number is 2
This indicates that 6 cannot be in the first or third position, but in the second position only
So the second position number is 6

Again, going back TO THE THIRD COMBINATION SCENARIO with numbers 2 0 6

There are two correct numbers here BUT WRONGLY PLACED. Now, with the fact that the
third position number is 2 whereas the second position number is 6 and the third number is supposed to be zero;
THEREFORE; THE COMBINATION OF THE THREE NUMBERS IS 062, ZERO BEING THE FIRST DIGIT

However, in case of ambiguity in the question that the numbers 738 were also involved but only that were wrongly placed; then there must exist several combinations of valid passwords and not just a single password 062

Linko
 
maelezo yasemayo
"one number is correct and well placed" chini ya 682 umeyaelewaje?

Mimi nilielewa kuwa, mojawapo kati ya 6, 8 na 2 ni sahihi (ipo kwenye combination ya password) lakini pia imewekwa sehemu sahihi. Hivyo hapa tunaona 2 ndiyo ipo sehemu sahihi na ipo kwenye password combination.
 
Jibu nililotoa mimi ndio jibu sahihi

Tafuteni huko juu
 
maelezo yasemayo
"one number is correct and well placed" chini ya 682 umeyaelewaje?

Mimi nilielewa kuwa, mojawapo kati ya 6, 8 na 2 ni sahihi (ipo kwenye combination ya password) lakini pia imewekwa sehemu sahihi. Hivyo hapa tunaona 2 ndiyo ipo sehemu sahihi na ipo kwenye password combination.
Tuchukulie sasa kwa mfano namba hiyo ni 6
Kwa hiyo kwenye scenerio ya kwanza ni kwamba 6 iko CORRECT AND WELL PLACED, kwenye position namba ONE
Kwenye scerio ya pili, namba hiyo hiyo tena inakuwa CORRECT BUT WRONGLY PLACED, wakati haijabadilisha position bado iko pale pale kwenye nafasi ya kwanza.

Huoni kwamba hii tayari ni CONTRADICTION inayokupa hint kwamba 6 haiwezi kuwa kwenye nafasi ya kwanza?
Ni kweli 6 na 2 zote zipo kwenye password!
 
kwa kuwa ni chemsha bongo, kila mmoja abaki na jibu lake.

Jibu langu ni 042 fullstop. Huenda labda kiingereza kinanipiga chenga ndiyo maana napata hili jibu la 042.
 
Tatizo siyo kiingereza bali pengine tungo tata kwenye swali, hata kama lingekuwa limeandikwa kwa lugha ya Kiswahili. Hata hivyo naomba nikiri kwamba kile ambacho kimekpa shida wewe kwenye swali hili si tungo tata wala kiingereza; bali ni LOGIC
Kitu unakielewa tu baada ya kuwa umepata LOGIC yake, vinginevyo utachukulia kuwa ni muujiza. Kwa mfano, logic ni kwamba nikirusha jiwe juu, lazima baadaye tena litarudi chini na kuja kudondoka kwenye ardhi. Lakini ikitokea nkarirusha juu na lisirudi chini tena hiyo sasa itakuwa haileti LOGIC, unakuwa ni muujiza kwangu; siwezi kuelewa!
 
Kwa hiyo in short which numbers are correctly ?????
 
Back
Top Bottom