Crate Challenge: sio mchezo mzuri kwa afya ya mwili

Crate Challenge: sio mchezo mzuri kwa afya ya mwili

mathsjery

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2015
Posts
2,249
Reaction score
1,813
Huu mchezo unachezwa bila hata mavazi maalum ambayo yanaweza zuia mtu usiumie endapo utaanguka, watu kucheza kwa bidii sana crate zinapangwa mtindo wa pyramid au pembe tatu kisha unakuwa unapanda kama unapanda ngazi ili kutokea upande wa pili cha ajabu huwezi vuka bila kuanguka kwani crate zinayumba na kuna kuanguka kabla ya kufika kileleni na kuna kuangukia kileleni dah watu wanaumia migongo lakini wanacheza utafikiri hawana mifupa yaani unaumia hata kichwa au kiuno lakini ndo utacheza na kucheza yaani mchezo huu unatrend balaa.



 
Back
Top Bottom