Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido

jaman ifike hatua 2achane na mambo ya teams ebu 2simame kama taifa 2vote kwa diamond na v money jua kwa sasa wanaiwakirisha image ya tz. let's us now joining 2gether na 2ache mambo ya teams
 
habari ya uongo hukanushwa kukaa kimya ina maana ile habari ni kweli, leta kanusho nimpigie kura

+Nani kakwambia? ndo unajivyijidanganya ha haa haaa ndo maana nikakwambia mnaendeshwa kwa hisia na assumptions!

+yaani Diamond angekua na kazi ya kukanusha maneno ya watu si angekua anashinda anakanusha skendo!
 
Unaumia roho kweli na mie kama vile ulime.gwa nae na kubwa.gwa na Diamond.

Karibu huku kwetu uswazi kwa kaka Chibu tunakotumia mb1 tunashinda mtandaoni kwa sekunde 1.

Lmao

Kumbe Unataka maneno ya shombo karibu sana. Kabwagwa MAria MAgdalena YAani KOsa baada ya KUFIka RWAnda na ALI KIBA
 
Unaumia roho kweli na mie kama vile ulime.gwa nae na kubwa.gwa na Diamond.

Karibu huku kwetu uswazi kwa kaka Chibu tunakotumia mb1 tunashinda mtandaoni kwa sekunde 1.

Lmao
Dada yangu kazi unayo,kwani wanakuumiza kichwa Diamond hakupata TUZO ?? si wapo ambao hawakupata kabisa na maisha yanaendelea kama kawaida ?????? au ndo mara ya kwanza wao kumponda Diamond ???????kipi kipya kinachokufanya uwavimbishe kichwa watu ambao hawampunguzii hata mia ktk account yake lakini pia hao sherehe yao itaisha kama zile zingine zilivyoisha na uwezi kuwazuia ila kwa kuendelea kubishana nao ndo unawazidisha wakuone kama Diamond kuna kitu kimempungua wakati hakuna kilichopungua na TUZO KAPATA KUNA AMBAO HAWAJAPATA NA MAISHA YANAENDELEA
 

Yes ooo kazi ninayo, dozi ilibidi itoke nami ninajua kusoma so nikatoa.

Kwa Diamond def hakuna kinachopungua hata kunguni aliyejificha anajua hilo. Ndio kwanza wanasaidia kumpaisha.

Haya usiku mwema niko kijiweni napata gongo.
 
Kweli hakuna namna nyingine sasa, mkuu tupia link ya Davido tumpe kura mwafrika mwenzetu maana hata waasisi wetu Nyerere na Nkwame nkurumah walisisitiza umoja wa Africa.

Africa kwanza Tanzania badae

Ah ah ah ah ah ah ah ah mkuu umeua!!
 
yes ooo kazi ninayo, dozi ilibidi itoke nami ninajua kusoma so nikatoa.

Kwa diamond def hakuna kinachopungua hata kunguni aliyejificha anajua hilo. Ndio kwanza wanasaidia kumpaisha.

Haya usiku mwema niko kijiweni napata gongo.

vote kwa vanessa mdee pamoja na davido



 

Inashangaza sana sisi waswahili...
 
vote for davido na vanessa mdee

 
Usitushawishi upuuzi ww, mimi kama mtanzania ntapigia kura diamond....wenye chuki lazima mfeli..tuuu
 



 
Best Live VOTE FOR MR. FLAVOUR



 
Yaleyaleee, kwani mimi nimesema natukanishwa na mafanikio yake au yeye na mashabiki zake? (Wewe pia ukiwemo).
Mafanikio ya kupata nominations? Hahahahaaa.
Hivi hii post hapa chini aliipost nani vile
Soma ulichopost na unachokataa hukupost
We jiandae na matusi mkuu
Ukiwa muongo uwe na kumbu kumbu nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…