chlorine gas
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 2,522
- 2,651
jaman ifike hatua 2achane na mambo ya teams ebu 2simame kama taifa 2vote kwa diamond na v money jua kwa sasa wanaiwakirisha image ya tz. let's us now joining 2gether na 2ache mambo ya teams
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
habari ya uongo hukanushwa kukaa kimya ina maana ile habari ni kweli, leta kanusho nimpigie kura
Unaumia roho kweli na mie kama vile ulime.gwa nae na kubwa.gwa na Diamond.
Karibu huku kwetu uswazi kwa kaka Chibu tunakotumia mb1 tunashinda mtandaoni kwa sekunde 1.
Lmao
Dada yangu kazi unayo,kwani wanakuumiza kichwa Diamond hakupata TUZO ?? si wapo ambao hawakupata kabisa na maisha yanaendelea kama kawaida ?????? au ndo mara ya kwanza wao kumponda Diamond ???????kipi kipya kinachokufanya uwavimbishe kichwa watu ambao hawampunguzii hata mia ktk account yake lakini pia hao sherehe yao itaisha kama zile zingine zilivyoisha na uwezi kuwazuia ila kwa kuendelea kubishana nao ndo unawazidisha wakuone kama Diamond kuna kitu kimempungua wakati hakuna kilichopungua na TUZO KAPATA KUNA AMBAO HAWAJAPATA NA MAISHA YANAENDELEAUnaumia roho kweli na mie kama vile ulime.gwa nae na kubwa.gwa na Diamond.
Karibu huku kwetu uswazi kwa kaka Chibu tunakotumia mb1 tunashinda mtandaoni kwa sekunde 1.
Lmao
Hapa tulipofikia hata mungu hawezi kutusaidia.
Dada yangu kazi unayo,kwani wanakuumiza kichwa Diamond hakupata TUZO ?? si wapo ambao hawakupata kabisa na maisha yanaendelea kama kawaida ?????? au ndo mara ya kwanza wao kumponda Diamond ???????kipi kipya kinachokufanya uwavimbishe kichwa watu ambao hawampunguzii hata mia ktk account yake lakini pia hao sherehe yao itaisha kama zile zingine zilivyoisha na uwezi kuwazuia ila kwa kuendelea kubishana nao ndo unawazidisha wakuone kama Diamond kuna kitu kimempungua wakati hakuna kilichopungua na TUZO KAPATA KUNA AMBAO HAWAJAPATA NA MAISHA YANAENDELEA
Kweli hakuna namna nyingine sasa, mkuu tupia link ya Davido tumpe kura mwafrika mwenzetu maana hata waasisi wetu Nyerere na Nkwame nkurumah walisisitiza umoja wa Africa.
Africa kwanza Tanzania badae
Kitu ambacho kila mara najifunza hapa ni uelewa mdogo wa kufikiria tu. Kisa kafanya mr almasi ni wangapi wameowa na kuolewa nje ya nchi hii na pengine nje ya bara hili? Kingine kwa swala la makombo hata yeye anakula hayo na si yeye tu kila mtu kayapitia hayo.
vote for davido na vanessa mdeesawa msukule hata maji haujui kama utakunywa leo nakuonea huruma, umasikini na akili za standard 9 ndio tabu udidahau kuchukua dekio kufuta machozi ya njaaaaaaaaa
unatamania ungekuwa diamond pole mtoto wa tandake yupi juu, ushindi mmepata bado roho zinawauma tatizo nyotaaaaaaaaa
haya andika facts musukule weye wa 1st class aka mburulaz aka zingifuri.
Bye
usisahau
kupiga kura
diamond platnumz kategori 3 (tatu) - best male, best collaboration na best live and vanessa 1(moja) -- best female
ingia kwa link hii chini
MAMA 2015
bonyeza bonyeza vote usichoke
******************


Kupiga kura
Diamond Platnumz kategori 3 (tatu) - Best MALE, Best COLLABORATION na Best LIVE and Vanessa 1(moja) -- Best FEMALE
ingia kwa link hii chini
MAMA 2015
Bonyeza bonyeza VOTE usichoke
******************

Davido aliyeitukana nchi nzima ya Tz leo anashabikiwa na Watz???
Hili ni janga
Sawa msukule hata maji haujui kama utakunywa leo nakuonea huruma, umasikini na akili za standard 9 ndio tabu udidahau kuchukua dekio kufuta machozi ya njaaaaaaaaa
Unatamania ungekuwa Diamond pole mtoto wa Tandake yupi juu, ushindi mmepata bado roho zinawauma tatizo nyotaaaaaaaaa
Haya andika facts Musukule weye wa 1st class aka mburulaz aka zingifuri.
Bye
Usisahau
Kupiga kura
Diamond Platnumz kategori 3 (tatu) - Best MALE, Best COLLABORATION na Best LIVE and Vanessa 1(moja) -- Best FEMALE
ingia kwa link hii chini
MAMA 2015
Bonyeza bonyeza VOTE usichoke
******************


Best Live VOTE FOR MR. FLAVOURSawa msukule hata maji haujui kama utakunywa leo nakuonea huruma, umasikini na akili za standard 9 ndio tabu udidahau kuchukua dekio kufuta machozi ya njaaaaaaaaa
Unatamania ungekuwa Diamond pole mtoto wa Tandake yupi juu, ushindi mmepata bado roho zinawauma tatizo nyotaaaaaaaaa
Haya andika facts Musukule weye wa 1st class aka mburulaz aka zingifuri.
Bye
Usisahau
Kupiga kura
Diamond Platnumz kategori 3 (tatu) - Best MALE, Best COLLABORATION na Best LIVE and Vanessa 1(moja) -- Best FEMALE
ingia kwa link hii chini
MAMA 2015
Bonyeza bonyeza VOTE usichoke
******************


Inashangaza sana.... Tunashabikia kwa ujinga sana....
Hivi hii post hapa chini aliipost nani vileYaleyaleee, kwani mimi nimesema natukanishwa na mafanikio yake au yeye na mashabiki zake? (Wewe pia ukiwemo).
Mafanikio ya kupata nominations? Hahahahaaa.
Ukiwa muongo uwe na kumbu kumbu nzuriNa bado.Sio huyu diamond tu, tatizo lipo kwa mashabiki wake pia.Juzi hapo baada ya taarifa kutoka kuwa kapata nominations huko tulitukanwa na kukashifiwa sana humu JF, sasa nimpigie kura ili ashinde halafu nitukanwe zaidi?
No way, nitampigia ninayemtaka maana device na bundle vyote ni vyangu na hakuna wa kunipangia.