Thats very true, sasa dawa yao nshaijua. Hakuna kuwaangalia usoni.
Ni makavu bandika bandua.
Mpaka ujiandikishe kwenye BVR.
Na bado.Sio huyu diamond tu, tatizo lipo kwa mashabiki wake pia.Juzi hapo baada ya taarifa kutoka kuwa kapata nominations huko tulitukanwa na kukashifiwa sana humu JF, sasa nimpigie kura ili ashinde halafu nitukanwe zaidi?
No way, nitampigia ninayemtaka maana device na bundle vyote ni vyangu na hakuna wa kunipangia.
Hahahahaaa, hivi umehangaika kusoma? Una moyo kwelikweli.
uzalendo !!!!!!!!!!kwani anapotudharau hakujua sisi ni watanzania na wana tandale????
hata kura za urais kapigeni kizalendo based on ur dini na makabila kama kenya
Hata mimi nashangaa, chukulia mfano sisi mashabiki wa Kiba tuliopo humu tumeshawishiwa na wema kumpigia kura Davido?
Tena mimi nataka Wizkid ashinde na sio huyo Davido wanayesema.
Acha kutafuta visingizio vusivyo na sababu, kubalini matokea
Ah wewe ni noma mpaka mtu kakimbilia bafuni kuondoa jasho, maana kila ulichokisema ni yeye mtupu. Kumbe ndio maana vina hasira.
jiunge kwenye kampeni na kuanzia kesho link inasambazwa katika kila social media ndani na nje ya nchi
Albert Einstein alituambia " The great spirits have always encountered violent opposition from mediocre minds"
Na Socrates alituambia " From the deepest desires often come the deadliest hate"
Mleta mada na wanaokusapoti kauli hizi ziinawahusu hahahhah
Nahisi mleta mada kama sio mshirikina,mchawi au basi mganga wa kienyeji
baada ya kuoa mganda kaita wanawake wa tz makombo, huu ni uzalendo sana na yafaa tumlipize
+aliita wapi wanawake wa tz makombo we ulimsikia au unachukulia mambo kwa hisia na imani embu evidence ya kuita wanawake wa tz makombo.
+twende kwa fact sio kufuata mkumbo na hisia