Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido

Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido

ukitaka kujua fitina za watanzania uliza simba na yanga.

timu za nje zikijaga huku huwa hawahangaiki kumobilize mashabiki.
wao wanatanguliza jezi tu.
 
Thats very true, sasa dawa yao nshaijua. Hakuna kuwaangalia usoni.

Ni makavu bandika bandua.

Ah wewe ni noma mpaka mtu kakimbilia bafuni kuondoa jasho, maana kila ulichokisema ni yeye mtupu. Kumbe ndio maana vina hasira.
 
Na bado.Sio huyu diamond tu, tatizo lipo kwa mashabiki wake pia.Juzi hapo baada ya taarifa kutoka kuwa kapata nominations huko tulitukanwa na kukashifiwa sana humu JF, sasa nimpigie kura ili ashinde halafu nitukanwe zaidi?
No way, nitampigia ninayemtaka maana device na bundle vyote ni vyangu na hakuna wa kunipangia.

Kwanza kwann tupangiane jinsi ya kuishi au kuact in life??Cm yangu,hela zangu, muda wangu,ila kwenye kupiga kura wapange wao???

Pigia kura umpendaye
 
Mtoa mada umevuliwa na diamond then kakuacha pasipo ww kutarajia ndo maana unaamua kuanzisha hadi kampeni za ki-old skul km hizi, jamaa kama anajua mwacheni na uwezo wake aoneshe internationally.
 
Hahahahaaa, hivi umehangaika kusoma? Una moyo kwelikweli.

Si kwakuwa NGELI hata we umekimbia? Ila gazeti za la umbea wa Kiswahili ungesoma?
Ras Simba ana Ada nafuu kama British Council bei mkasi....hahah
 
uzalendo !!!!!!!!!!kwani anapotudharau hakujua sisi ni watanzania na wana tandale????
hata kura za urais kapigeni kizalendo based on ur dini na makabila kama kenya

huu ni ujinga na upuuzi. siamini kma ww ni mtanzania unaendesha chuki za aina hii. tenda wema nenda zako.
 
Hata mimi nashangaa, chukulia mfano sisi mashabiki wa Kiba tuliopo humu tumeshawishiwa na wema kumpigia kura Davido?
Tena mimi nataka Wizkid ashinde na sio huyo Davido wanayesema.

Acha kutafuta visingizio vusivyo na sababu, kubalini matokea

Nilichogundua ni kwamba team Diamond wengi wanastress ingawa cjajua zinatokana na nn.

Ntampigia nimpendaye maana nikimpigia Mond lazima ntatukanwa tu cku zijazo
 
Wanaume suruali tu mnaongea kuoga mbona jambo la kawaida tu. Jiamini watoto wa kiume kulia jf hakurudishi tuzo nyuma. Kubalini matokeo. Sio kuja na vioja mfu eti kuoga hakuna jipya mwajitafutia tu maradhi.
 
Ah wewe ni noma mpaka mtu kakimbilia bafuni kuondoa jasho, maana kila ulichokisema ni yeye mtupu. Kumbe ndio maana vina hasira.

Hajamkimbia kaamua kumpotezea tuu. Sasa mwanamke pedi hilo dume nalo pedi kuna nini la zaidi. Hiyo chattin yake tuu huyo blogger mimi huku nshaDIamondNDIamondSHAmo entreprises
 
Last edited by a moderator:
Pole mzee ndio ukubwa huo 😂😂😂😂
 

Attachments

  • 1434315263307.jpg
    1434315263307.jpg
    18.4 KB · Views: 89
Albert Einstein alituambia " The great spirits have always encountered violent opposition from mediocre minds"

Na Socrates alituambia " From the deepest desires often come the deadliest hate"

Mleta mada na wanaokusapoti kauli hizi ziinawahusu hahahhah

Nahisi mleta mada kama sio mshirikina,mchawi au basi mganga wa kienyeji
 
Albert Einstein alituambia " The great spirits have always encountered violent opposition from mediocre minds"

Na Socrates alituambia " From the deepest desires often come the deadliest hate"

Mleta mada na wanaokusapoti kauli hizi ziinawahusu hahahhah

Nahisi mleta mada kama sio mshirikina,mchawi au basi mganga wa kienyeji

Sifkirii kama ALBINO wanapita salama kwenye macho yao.
 
baada ya kuoa mganda kaita wanawake wa tz makombo, huu ni uzalendo sana na yafaa tumlipize

watanzania ni watu wa ajabu sana kwetu hakuna hii kitu. wivu usiokua na maana wala faida.
 
+aliita wapi wanawake wa tz makombo we ulimsikia au unachukulia mambo kwa hisia na imani embu evidence ya kuita wanawake wa tz makombo.

+twende kwa fact sio kufuata mkumbo na hisia

waweke evidence hapa tuwasapoti. sio kuleta bifu za mtaani hapa.
 
Back
Top Bottom