Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido

Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido

afu inakuaje? davido na wizkid watakushukuru? mangapi umefanyiwa hpa duniani na hujashukuru? usilipize ubaya kwa ubaya.
ni bora nidharauliwe na davido mnaija na sio diamond mtandale mwenzangu
inaudhi sana mtu wa home anapokudharau
 
Diamond anawanyima sana usingizi,mtaumwa sannnnnnnnnnnnnna na DAWA hakuna...................
 
Alieturoga kafa na dawa haipo :what::what: no wonder mlima Kilimanjaro wazungu wanajua upo Kenya hard to promote our own eti kwasababu ana mafanikio anaesema ana maringo kawahi kurungiwa wapi? Hz team team za kinafki za nini sasa muziki mzur upewe support hata angekua nani wa tz kaenda international ningempa support yangu ya kura so far hakuna male international artist in tz zaid ya mond hebu badilikeni eboo shobo kwa wanaija za nn sasa mbna wnyw hawatushobokei
 
Wagawa uchi kqa kupenda kupewa shukrani mfyuuuuuu...kumbe ulikua unampigia diamond ili akupe shukurani.ndo matatizo ushazoea kuvuliwa chupi na kupewa shukurani

mbona kiba kawapa shukrani mashabiki waliompigia...just fb post inatosha kuonesha how we belong together sasa mond kakausha yaan hata sjui kwa nini nilimpigia kura ktma
 
Our patriotism goes with VEE MONEY she's the only one who can make us proud. VOTE FOR DAVIDO VOTE FOR VEE MONEY

You no guts to say u have patriotism by making mistake

Sasa kumpigia davido ndo uzalendo gani mfyuuuuu .Mi sioni kama ni uzalendo Bali naona kama upashunaku wenye mihemko

Halafu na wewe unajidai mwanaume kwa kumchukia mwanaume mwenzio tena wa taifa lako what a shit!!!!
 
hata messi na ronaldo ndo watu wanaangoza kuchukiwa bila sababu za msingi, hakuna kingine zaidi ya wivu wa mafanikio, eti unamchukia mtu alafu kwenye playlist yako nyimbo zake hazikosi hapo hapo umemfollow kwenye fb, instagram na twitter na siku zote watu wanapenda uwe maskini ndo utakuwa rafiki yao
 
Kura ni siri,kura ni uamuzi binafsi,kwanini tupangiane???

Nahesabu mpaka 3,then kwa pamoja tunasema Kiba x 5

1,2,3...KIBA..KIBA...KIBA...KIBA...KIBA
 
mbona kiba kawapa shukrani mashabiki waliompigia...just fb post inatosha kuonesha how we belong together sasa mond kakausha yaan hata sjui kwa nini nilimpigia kura ktma

Hiyo ndo sababu inayofanya umchukie? Hivi huko kwenye nyumba za ibada mnaenda kumuomba shetani? Maana vitabu vya mungu vinajieleza
 
nyerere 1995 alimpigia kampeni jamaa wa nccr na akawa mbunge wa jimbo lake...hii ni baada ya nyerere kumkataa mgombea wa ccm.Nyerere hakuwa mzalendo kwa ccm? UMIMI, ukabila,usisi, uwao alikataza Nyerere, ubara, upemba,uunguja

+Leo utabwayabwaya sana hadi siasani, haya tuambie ni mbunge gani aliyepigiwa kampeni?

+aya hata kama alipigiwa kwa hiyo wewe unaonyesha huo umoja kwa kuwapigia wanaija wao wanakujua? Km huo umoja wako unaousemea unatakiwa uanzie kwanza nyumbani.
 
VEE MONEY anawakilisha TANZANIA Na KURA Tutampigia Mtanzania mwenzetu. Ndomo sio mtanzania ni raia wa Tandale atapigiwa na wananchi wenzake wa Tandale

Wewe uwezi kuwa mwanaume una walakini, tafuta njemba ikuweke ndani. Wanaume uwa tuna wivu wa maendeleo.
 
Ila nimeelewa kwa nini wanawake wengi ndio wanakuwaga wachawi, wanawake wana chuki kali sana. Tena chuki inaweza isiwe ata na sababu ya maana ila mtu akakulisha sumu.
 
Na ukichunguza vizuri wengi ni watu wasiojielewa Akili zao ziko "too local" they have no foresight.

Na mbaya zaidi kuna wanaume wanasopti huu ujinga .Yaani unajenga chuki na mwanaume mwenzio hahahahahaah .

Haya kweli majanga(in snura tone)

Mi kwa hawa mademu sina shida nao, ni tabia zao.

Ila watoto wa kiume, duuh. Most of them ni watu wenye maisha ya kuunga unga tu.. Walishadanganywa ukitoka University basi maisha mteremko..

Wamerudi mtaani, kwanza wakapigwa na blow out ya kutembea na bahasha mwaka mzima, unakuja kupata kazi, ni stress tupu, mshahara hautoshi, magumashi mjini nayo hayaendi.

Wanapokuja kumwona kijana aliyedrop out, sijui alifeli form four amewapiga gap, lazima mapovu yawatoke.. Ukiwauliza ni kwanini wanamchokia dogo, majibu hawana. Honestly huyu jamaa anaweza kutumika kama Inspirational kwa watoto wa Uswazi kwamba wakisimama kwa chochote, ukawa mbunifu na ukajituma U gonna make it.. The only thing I adore this kid ni hiyo, his personal life is his.
 
Back
Top Bottom