Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido

Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido

Ndo mana hatuendelei hiv. We diamond akikosa tuzo huko nje unaona kama umemkomoa sana. Then unafaidika nn. Tusiwe na chuki kiasi hiki ni mTanzania mwenzetu anayetuwakilisha nje.. em tuwe na busara kdogo
 
+Leo utabwayabwaya sana hadi siasani, haya tuambie ni mbunge gani aliyepigiwa kampeni?

+aya hata kama alipigiwa kwa hiyo wewe unaonyesha huo umoja kwa kuwapigia wanaija wao wanakujua? Km huo umoja wako unaousemea unatakiwa uanzie kwanza nyumbani.
kwamba humjui au unansumbua bure???paul ndobho akigombea kwa nccr alipigiwa kampeni na mwalimu

sio lazma kumpigia diamond much as anadharau
 
Ndo mana hatuendelei hiv. We diamond akikosa tuzo huko nje unaona kama umemkomoa sana. Then unafaidika nn. Tusiwe na chuki kiasi hiki ni mTanzania mwenzetu anayetuwakilisha nje.. em tuwe na busara kdogo
napata furaha ya moyo, kwan yanga waliposhanglia simba ilipocheza na LIBOLO walipata faida gani zaidi ya furaha ya moyo???
furaha hununuliwa
 
Mi kwa hawa mademu sina shida nao, ni tabia zao.

Ila watoto wa kiume, duuh. Most of them ni watu wenye maisha ya kuunga unga tu.. Walishadanganywa ukitoka University basi maisha mteremko..

Wamerudi mtaani, kwanza wakapigwa na blow out ya kutembea na bahasha mwaka mzima, unakuja kupata kazi, ni stress tupu, mshahara hautoshi, magumashi mjini nayo hayaendi.

Wanapokuja kumwona kijana aliyedrop out, sijui alifeli form four amewapiga gap, lazima mapovu yawatoke.. Ukiwauliza ni kwanini wanamchokia dogo, majibu hawana. Honestly huyu jamaa anaweza kutumika kama Inspirational kwa watoto wa Uswazi kwamba wakisimama kwa chochote, ukawa mbunifu na ukajituma U gonna make it.. The only thing I adore this kid ni hiyo, his personal life is his.

Well said mkuu jamaa ni inspirational icon.Sababu hata Mimi nimempita kielimu but ananiinspire kwa tabia ya kupenda kuthubutu kujaribu bila woga na kufanya kazi kwa bidii bila kubweteka na misifa ya kijinga

Ni wajinga tu wenye uwezo finyu wa kufikiri wanamdharau huyu kijana.

All in all jamaa anajua sana.
 
hahahaha haya maisha bhana yanaenda kasi sana uzuri dunia ndo hii hii kesho na kesho kutwa Ali kiba nae atapata nomination nje ya nchi then the past will eat the future

Atapenyea wapi mpaka apate nomination na mabolingo yake. Mwana bonge la ngoma ambayo haikawahi kanyaga hata #10 trace Mtv au chanel O top 10. Wanamuona local tu bado
 
kwamba humjui au unansumbua bure???paul ndobho akigombea kwa nccr alipigiwa kampeni na mwalimu

sio lazma kumpigia diamond much as anadharau

+Hayo mambo ya siasa unayajua wewe sikubishii sana coz hili sio jukwaa lake.

+nimekuuliza toka saa nyingi uonyeshe hizo dharau za Diamond, huonyeshi wala huna evidence unabaki kulialia tu! Haya endelea kuonyesha umoja wako kwa kuwapigia hao ndugu zako wanaija.
 
Ila nimeelewa kwa nini wanawake wengi ndio wanakuwaga wachawi, wanawake wana chuki kali sana. Tena chuki inaweza isiwe ata na sababu ya maana ila mtu akakulisha sumu.

Sio wachawi tu mkuu pia wanawake wengi wanamapepo haha. Hata kanisani ndio wanaongozaga kuanguka mapepo. Roho mbaya Chuku umbea Wivu umewajaaa. Na mwanamme ukiwa hiv basi unahatari u hv 2be clld Catlyn Jenner
 
Nilidhani Nyerere alijitahidi katika mengi lakini aliweza katika somo la uzalendo. Kumbe somo la uzalendo babu Nyerere alichemsha...
 
Mi nadhani kabla ya kum judge tungejua why mleta mada anasema yote haya!! Nadhan hapo ungekua umetumia busara zaidi!!

Mkuu unadhani lengo lake hasa ni nini?

Maana hajasema nia na madhumuni ya kuleta huu Uzi hapa jamvi

Kama wewe ni GT lazima utakuwa umepata picha huyu ni MTU wa namna gani na nini kilimsukuma kuleta huu uzi
 
Mi kwa hawa mademu sina shida nao, ni tabia zao.

Ila watoto wa kiume, duuh. Most of them ni watu wenye maisha ya kuunga unga tu.. Walishadanganywa ukitoka University basi maisha mteremko..

Wamerudi mtaani, kwanza wakapigwa na blow out ya kutembea na bahasha mwaka mzima, unakuja kupata kazi, ni stress tupu, mshahara hautoshi, magumashi mjini nayo hayaendi.

Wanapokuja kumwona kijana aliyedrop out, sijui alifeli form four amewapiga gap, lazima mapovu yawatoke.. Ukiwauliza ni kwanini wanamchokia dogo, majibu hawana. Honestly huyu jamaa anaweza kutumika kama Inspirational kwa watoto wa Uswazi kwamba wakisimama kwa chochote, ukawa mbunifu na ukajituma U gonna make it.. The only thing I adore this kid ni hiyo, his personal life is his.

mkuu umemaliza kila kitu mtu mwenye mafanikio ya hawezi kuwa mtazamo wa kijinga vile, wengi wao wakiume ni stress za maisha hasa wakiona dogo kawapiga gap na wengine ni wale nyapu ndo rasilimali hapa mjini huwezi kuta mtu kama madam rita anafanya hivo
 
napata furaha ya moyo, kwan yanga waliposhanglia simba ilipocheza na LIBOLO walipata faida gani zaidi ya furaha ya moyo???
furaha hununuliwa

Amna kitu cha kulinda kama utaifa. To sapport ur own tuige nchi za wenzetu ambazo wanaweka utaifa mbele. Chuki baina yetu haijengi Diamond katutangaza sana Tz tusichoke kumpa sapport" we mpe sapport thn maisha yake kala nn anatoka na nani mwachie mwenyewe
 
Well said mkuu jamaa ni inspirational icon.Sababu hata Mimi nimempita kielimu but ananiinspire kwa tabia ya kupenda kuthubutu kujaribu bila woga na kufanya kazi kwa bidii bila kubweteka na misifa ya kijinga

Ni wajinga tu wenye uwezo finyu wa kufikiri wanamdharau huyu kijana.

All in all jamaa anajua sana.

"Be the best version of yourself in anything you are doing"
 
Sio wachawi tu mkuu pia wanawake wengi wanamapepo haha. Hata kanisani ndio wanaongozaga kuanguka mapepo. Roho mbaya Chuku umbea Wivu umewajaaa. Na mwanamme ukiwa hiv basi unahatari u hv 2be clld Catlyn Jenner

Hahhahahha nimecheka kweli wanaume wa hivyo lazima watakuwa wanaelekea kwenye u-caitilyn Jenner hahahaha
 
Back
Top Bottom