Mi kwa hawa mademu sina shida nao, ni tabia zao.
Ila watoto wa kiume, duuh. Most of them ni watu wenye maisha ya kuunga unga tu.. Walishadanganywa ukitoka University basi maisha mteremko..
Wamerudi mtaani, kwanza wakapigwa na blow out ya kutembea na bahasha mwaka mzima, unakuja kupata kazi, ni stress tupu, mshahara hautoshi, magumashi mjini nayo hayaendi.
Wanapokuja kumwona kijana aliyedrop out, sijui alifeli form four amewapiga gap, lazima mapovu yawatoke.. Ukiwauliza ni kwanini wanamchokia dogo, majibu hawana. Honestly huyu jamaa anaweza kutumika kama Inspirational kwa watoto wa Uswazi kwamba wakisimama kwa chochote, ukawa mbunifu na ukajituma U gonna make it.. The only thing I adore this kid ni hiyo, his personal life is his.