ni bora nidharauliwe na davido mnaija na sio diamond mtandale mwenzanguafu inakuaje? davido na wizkid watakushukuru? mangapi umefanyiwa hpa duniani na hujashukuru? usilipize ubaya kwa ubaya.
hatuitaji support yenu, team kiba tupo vizuri
nenda kenya forums uone ant-diamond posts zinavyoflow
Wagawa uchi kqa kupenda kupewa shukrani mfyuuuuuu...kumbe ulikua unampigia diamond ili akupe shukurani.ndo matatizo ushazoea kuvuliwa chupi na kupewa shukurani
Our patriotism goes with VEE MONEY she's the only one who can make us proud. VOTE FOR DAVIDO VOTE FOR VEE MONEY
umebarikiwa kuliko wanawake wote. heri yako wewe usie na mapungufu.
ni bora nidharauliwe na davido mnaija na sio diamond mtandale mwenzangu
inaudhi sana mtu wa home anapokudharau
mbona kiba kawapa shukrani mashabiki waliompigia...just fb post inatosha kuonesha how we belong together sasa mond kakausha yaan hata sjui kwa nini nilimpigia kura ktma
Ndio maana wazungu wanawaita MANYANI.
nyerere 1995 alimpigia kampeni jamaa wa nccr na akawa mbunge wa jimbo lake...hii ni baada ya nyerere kumkataa mgombea wa ccm.Nyerere hakuwa mzalendo kwa ccm? UMIMI, ukabila,usisi, uwao alikataza Nyerere, ubara, upemba,uunguja
VEE MONEY anawakilisha TANZANIA Na KURA Tutampigia Mtanzania mwenzetu. Ndomo sio mtanzania ni raia wa Tandale atapigiwa na wananchi wenzake wa Tandale
Na ukichunguza vizuri wengi ni watu wasiojielewa Akili zao ziko "too local" they have no foresight.
Na mbaya zaidi kuna wanaume wanasopti huu ujinga .Yaani unajenga chuki na mwanaume mwenzio hahahahahaah .
Haya kweli majanga(in snura tone)