Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido


mkuu umemaliza kama mungu alimtoa tandale na kumnyooshea njia hadi mtv mama wewe mwenzangu na mimi binadamu wa kawaida hata humpigie davido mara 2000, still kijana atakuwa top, when God say yes nobady can say no , hizi nyingine ni blah blah tu
 
Ndio manake, siyo ww mpk uliwe ndio ule

Kwa uandishi wako mambo yafuatayo nimeng'amua

1.Wewe bado mtoto hujielewi.
2.Kuna uwezekano shule ulikimbia maana hata mwandiko sifuri .
3.Wewe mgeni jamiiforum.

By the way kajipanga na ujiongeze.

Ova and out.
 
Mimi huwa sifuatilii tuzo ila kwa sababu yenu Ninyi manaojiita #team ....sijui team ya Nani...

Nishampigia Diamond kura 60, yaani 20 × 3 categories...

Anakura zangu 60 sasa....

Sijui mmekula maharage ya abuja...pumbavvv

Poa ndugu kila siku tutazidi kupiga kuziongeza kura
Itakuwa 60 * namba za siku hadi mwisho.

Pamoja kupaisha Tanzania
 
kura zangu 60 diamond tayari nishampigia.

watu man wivu kama kutu.

watu mna wivu kama udongo wa kaburini.

Hata mimi ntampigia hizo tuzo moja lazima ije bongo kuileta sifa nchi hiyo hii.

Tanzania nitakuita mpaka kufa hahabahah (chenja ya jkt hiyo)

Poa ndugu tuendelee kumpigia hizo 60 kila siku

Tupaishe Tanzania
 
Kwa uandishi wako mambo yafuatayo nimeng'amua

1.Wewe bado mtoto hujielewi.
2.Kuna uwezekano shule ulikimbia maana hata mwandiko sifuri .
3.Wewe mgeni jamiiforum.

By the way kajipanga na ujiongeze.

Ova and out.

Haya tuma salamu ww ambaye unajielewa still now upo kwny keyboard haulali unabishana na mm mtt!
 
Ndio manake mkuu. Mambo hayo tuwaachie watt wakike. Kiba simkubali sana lkn hainizuii kumsapoti nikiona yupo kwenye Tuzo nje uko badae then ninauwezo wakuvote Navote cz akichukua ni kama Tz"

Hata Mimi ningefanya kama wewe hasa kwa swala la lenye kuleta Tija kwa maslahi ya nchi kiba ningempigia kura tuzo ije bongo
 
Diamond amependekezwa kuwania moja ya tuzo kubwa barani Africa. KUNA UZI UMEONGELEA HABARI HII HUMU KWENYE CELEBRITY FORUM

msisahau pia
Kupiga kura
Diamond Platnumz kategori 3 (tatu) - Best MALE, Best COLLABORATION na Best LIVE and Vanessa 1(moja) -- Best FEMALE

ingia kwa link hii chini

http://mama.mtv.com/voting/


Bonyeza bonyeza VOTE usichoke

******************
 

Already kabla cjalala
 

Attachments

  • 1434322603488.jpg
    35.2 KB · Views: 154
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…