Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido

Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido

hakumuita joketi kombo?KAMA HAKUONGEA kwa nini hakukanusha ile habari hata kwa kutumia account fb zake kma media zinapotosha???

kumuita x kombo ni sawa kunitukana pia mimi kwa kuwa nina x wangu so najihisi makombo

Wee ni ndugu wa jokate? Dadaake,? Shangazi yake? Au nani wake?

Kama diamond mwenyewe anakula makombo nyie mnakereka nini mbona facts ziko wazi tu au ndo yale kunya anye kuku, akinya bata ...
Km unajihisi makombo ni juu yako usilale na wanaume tena hadi uolewe kama hujaolewa otherwise stfu!

Acheni kijana awakilishe nchi,
 
Na bado.Sio huyu diamond tu, tatizo lipo kwa mashabiki wake pia.Juzi hapo baada ya taarifa kutoka kuwa kapata nominations huko tulitukanwa na kukashifiwa sana humu JF, sasa nimpigie kura ili ashinde halafu nitukanwe zaidi?
No way, nitampigia ninayemtaka maana device na bundle vyote ni vyangu na hakuna wa kunipangia.

You should raise above that, usikubali below average mind zi influence decisions zako.
 
Yaani ni utoto uliokithiri aisee.

We mbeba box humu JF una thread zaidi ya mia unaisifia Marekani tuu. Nakumbuka kipindi kile cha 9 desemba uliwaponda sana TPDF na kusifia majeshi ya jirani. Leo sisi kumpigia kura davido imekuwa nongwa. Punguani mkubwa sana. Kunya aje kuku akinya bata kaharisha.
 
Haya jipige kidole ukalale basi, sawa?
 
aliyeandika hapa hajajua kuwa anafanya Diamond pate kura nyingi zaidi indirectly tofauti na malngo yake........akifikiria atajua kwann
 
Hivi mna umri gani nyie watu?

Haijalishi umri ndo watanzania wa Leo hao. Magazeti Ya Shigongo ndo yanaongoza Kwa mauzo. Hata urais tutapiga kura kishabiki hivi hivi... Ndo mana wengine wana matumaini coz wanawajua watanzania wa Leo IQ zetu negative
 
Yani Tanzania haitaendelea hata ndani ya miaka 20 ijayo...Imejaa ujinga ujinga tu...na tunaelekea kwenye upumbavu sasa.

Kabisa, kuna midume humu ikiambiwa kula mavi na wema na jokate itakula, ikiambiwa xx awe Rais itafanya hivyo...
 
Wee ni ndugu wa jokate? Dadaake,? Shangazi yake? Au nani wake?

Kama diamond mwenyewe anakula makombo nyie mnakereka nini mbona facts ziko wazi tu au ndo yale kunya anye kuku, akinya bata ...
Km unajihisi makombo ni juu yako usilale na wanaume tena hadi uolewe kama hujaolewa otherwise stfu!

Acheni kijana awakilishe nchi,
tuzo za kilimanjaro zimethibitisha hata hapa nchini hakubaliki....sasa sijui anaenda kuiwakilisha nchi gani...usijitoe akili
 
Poa ndugu tuendelee kumpigia hizo 60 kila siku

Tupaishe Tanzania

na sisi tutaendelea kumpigia davido 120 kila siku achilia mbali waafrika wenzetu wa nigeria ambao kama nchi tu idadi yao ni zaidi ya milioni mia na mtandao wa intanet umezagaa kila kona
 
Diamond amependekezwa kuwania moja ya tuzo kubwa barani Africa. KUNA UZI UMEONGELEA HABARI HII HUMU KWENYE CELEBRITY FORUM

msisahau pia
Kupiga kura
Diamond Platnumz kategori 3 (tatu) - Best MALE, Best COLLABORATION na Best LIVE and Vanessa 1(moja) -- Best FEMALE

ingia kwa link hii chini

MAMA 2015

Bonyeza bonyeza VOTE usichoke

******************
davido mpango mzima hata dogo akilala makaburini hapati tuzo
 
kuna watu ni wajinga sana, nchi hii ina watu wenye uelewa mdogo kuliko nchi zingine duniani..........hii nchi sijui nani kailaani.
 
Back
Top Bottom