Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Link iko fresh labda badili browser
Poapoa natumia opera mini ndo maana inazingua labda ngoja nicheki kwa ucbrowser au mozilla
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Link iko fresh labda badili browser
Mdau umeniwahi hilo swali nilitaka kuuliza tokea asubuhi
"Be the best version of yourself in anything you are doing"
Yaani ni utoto uliokithiri aisee.
hakumuita joketi kombo?KAMA HAKUONGEA kwa nini hakukanusha ile habari hata kwa kutumia account fb zake kma media zinapotosha???
kumuita x kombo ni sawa kunitukana pia mimi kwa kuwa nina x wangu so najihisi makombo
Na bado.Sio huyu diamond tu, tatizo lipo kwa mashabiki wake pia.Juzi hapo baada ya taarifa kutoka kuwa kapata nominations huko tulitukanwa na kukashifiwa sana humu JF, sasa nimpigie kura ili ashinde halafu nitukanwe zaidi?
No way, nitampigia ninayemtaka maana device na bundle vyote ni vyangu na hakuna wa kunipangia.
Hivi mna umri gani nyie watu?
Yaani ni utoto uliokithiri aisee.
We mbeba box humu JF una thread zaidi ya mia unaisifia Marekani tuu. Nakumbuka kipindi kile cha 9 desemba uliwaponda sana TPDF na kusifia majeshi ya jirani. Leo sisi kumpigia kura davido imekuwa nongwa. Punguani mkubwa sana. Kunya aje kuku akinya bata kaharisha.
Haya jipige kidole ukalale basi, sawa?
Hivi mna umri gani nyie watu?
Yani Tanzania haitaendelea hata ndani ya miaka 20 ijayo...Imejaa ujinga ujinga tu...na tunaelekea kwenye upumbavu sasa.
usi ni mention wala usi niite kwenye thread za kixnge xnge kama hizi mburula wewe!
Kabisa, kuna midume humu ikiambiwa kula mavi na wema na jokate itakula, ikiambiwa xx awe Rais itafanya hivyo...
tuzo za kilimanjaro zimethibitisha hata hapa nchini hakubaliki....sasa sijui anaenda kuiwakilisha nchi gani...usijitoe akiliWee ni ndugu wa jokate? Dadaake,? Shangazi yake? Au nani wake?
Kama diamond mwenyewe anakula makombo nyie mnakereka nini mbona facts ziko wazi tu au ndo yale kunya anye kuku, akinya bata ...
Km unajihisi makombo ni juu yako usilale na wanaume tena hadi uolewe kama hujaolewa otherwise stfu!
Acheni kijana awakilishe nchi,
Poa ndugu tuendelee kumpigia hizo 60 kila siku
Tupaishe Tanzania
davido mpango mzima hata dogo akilala makaburini hapati tuzoDiamond amependekezwa kuwania moja ya tuzo kubwa barani Africa. KUNA UZI UMEONGELEA HABARI HII HUMU KWENYE CELEBRITY FORUM
msisahau pia
Kupiga kura
Diamond Platnumz kategori 3 (tatu) - Best MALE, Best COLLABORATION na Best LIVE and Vanessa 1(moja) -- Best FEMALE
ingia kwa link hii chini
MAMA 2015
Bonyeza bonyeza VOTE usichoke
******************
Already kabla cjalala