Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido

Sijui kama watakuelewa maana tulishaambiwa sisi ni vichwa nya wendawazimu na tumekubali kuwa hivyo kwa mawazo,kwa matendo na kwa kutotimiza wajibu.

mashabikibwa diamond ndio wendawazimu...acha kutukana watanzania...naona sasa ndio imekuwa system ya mashabiki wa diamond
 
sisi tumeanza kitambo na tunazidisha kasi
 

Mkuu JUMBE ZAKO ZINAFUNGA MJADALA.

YOU GOT THAT TONE THAT KILLS...

BRAVO..

CC. #teammamkombo
#teamwagumba .
 
Jamani izo kampeni zinapigiwa wapi mie sitaki kukosa
 

Mama umependeza hapo kwenye avatar!😱:sly:
 
united africa ndio mpango mzima na sio umimi
mbona simba yanga zinashangiliaga wageni? nyie mmegeuza kiba mondi kama mchuano wa simba yanga mlitegemea nini???

akishinda tunageuka kumpongeza ndio ubinadamu ulivyo lazma umpongeze mshindi

Mimi sijachangia kwa vile umeongea Fikra zangu.
 

Mtani...leo unaongea busara ila kuna mmoja wenu alisema Daimond haitaji kura zetu....
Yani nimefurahi kaliona hilo.
 
Sawa natakiwa niwe mzalendo kwa mtanzania mwenzangu lakini ninapaswa zaidi niwe mzalendo kwa Africa yangu zaidi.

Kabla sijapiga kura kwa Dai, je nimpigie kura kwa wimbo gani kwa mfano alioutoa mwaka jana 2014?
Je, kwa wimbo wa mchiriku wa Mdogo mdogo?

Au kwa wimbo wa Taarab alioimba na khadija kopa?

Au kwa wimbo wa bumbum feat Iyanya ule ambao maneno hayasikiki ila linasikika neno moja tu "Michael Jackson tact"?

Mimi kama mtu mwenye uelewa nadhani hii ndo list ya ushindi.
1. Best Male - Wizkid
2. Best collabo - Davido (The sound)
3. Best Live - Mr. Flavour
4. Best Song - Wizkid (show you the money)
5. Best female - Vanessa Mdee
6. Best group - Sauti soul
 
Davido aliyeitukana nchi nzima ya Tz au mwingine???
 
Diamond hajawahi kutoa wimbo wowote, hivo waweza mpigia kura best nassor kwa uzalendo zaidi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…