hovyo kabisa..unaandika nini hiki?kwanini iwe kwake tu...kijana wetu daimond anakosa gani kwa baadhi ya WaTz
kwa mziki wa ndan sawa lkn hata nje pia tunamtenga?.....noo hii ni nchi yetu na huyu ni kijana wetu , so ni vizuri tukazid kujitangaza kwa huyu na wengineo watakao au waliotoka nje!!
Amna kitu cha kulinda kama utaifa. To sapport ur own tuige nchi za wenzetu ambazo wanaweka utaifa mbele. Chuki baina yetu haijengi Diamond katutangaza sana Tz tusichoke kumpa sapport" we mpe sapport thn maisha yake kala nn anatoka na nani mwachie mwenyewe
hovyo!!
Tunajuana
wema ana nguvu ya soda tu hawezi kufanya watz zaidi ya mil 44 wamchukia diamond
Another day another vote....vote 4 davido, vote for Vanessa , vote for wiz kid, vote for saut sol
Mijitu ina roho mbaya ajabu,makosa ya wazazi wao na wao wenye yaliyowafanya kuwa masikini wanayahamishia kwa wengine.Yani yani ni ujinga mtupu.......kesho utasikia mbona viongozi wetu hawatibiwi nchini...mbona hawatumii kitu fulani cha nchini kwetuu....pumbavu kabisa mbona wewe huthamini cha kwenu?
Eti ooh Diamond ana dharau...alikudharau wapi?ushawahi kukutana na Diamond ana kwa ana akakudharau?mbona wewe ndiyo unaonekana mwenye dharau nyingi kuliko unayemsema!
Kijana wa watu anapambana kufanya yake na Mungu anambariki kwa juhudi zake...na Ataendelea kumbariki kwani anajituma.Hizo timu zenu za kishenzi za loosers ndiyo zinawatia ujinga,eti fulani mjinga mjinga ndiyo kawashikia akili watu wazima na akili zenu.Amkeni wabongo #FITINA , #CHUKI havileti maendeleo.
Penda nchi yako,penda vya nchini mwako.
ACHA FIKRA POTOFU
Man let me be....do u!!
Another day another vote....vote 4 davido, vote for Vanessa , vote for wiz kid, vote for saut sol
NJoo tuhamasishe campaign ya kumpigia kura davido
sioni notification hebu ntag kwanza hapo walipotomboka uharo..!Vipi mama? Maana naona wakata viuno wamekuquote na kuongea shombo.
Jamani jamani jamaniiiiiiii! Nimekuta pm's watu wananing'unikia kua mimi mkali, nina maneno makali na mambo kibao kama hayo.
Mnataka mimi nifanye nini? Kama nachokozwa nisijibu mapigo? Wengine wanajivika vyeo vya kiwendawazimu wanataka kunipangia muda wa kukaa humu nikae kimya tu?
Wengine wanataka kuingilia uhuru wangu wa kumpigia kura ninayemtaka mimi nikae kimya pia?
Sasa nasema hivi, NITAFANYA NINAVYOTAKA MIMI.ATAKAYENICHOKOZA ATAPATA STAHIKI YAKE VILEVILE.
Hvi watanzania mna masaibu gani. Kuna watu wanadai diamond ana dharau, sasa hyo dharau mnaiona mashabiki wa wema tu. Nimepita pita kitaa kuuliza watu na wanasema hawana tatizo na diamond.
Ila nimekuja kujua kumbe chanzo cha chuki ni mimba ya zari na kuachana na wema. Washabiki wa wema hawajakubali hali ya wema kutokuwa na raisi wa wasafi, pia wema nae bado ana kisasi, na ndo mana anaendesha kampeni ya kumpigia kura Davido na sio mtanzania mwenzake diamond.
Ila tu nisisitize, jokate, wema, na mange, nyie na washabiki wenu mpigien davido wenu, ila msitake kufanya watanzania wengine wamchukie diamond bila sababu. Sisi watanzania wengine tutampigia kura.
Na naona vanesa nae ashaanza kuingia team wema, mana anajipigia promo yeye mwenyewe na kumuacha diamond, badilika dada.
Vote for diamond ana Vanesa, MTv awards.
Tiambieni jinsi ya kupiga kira ili tuwakate mdomo maninti hawa