Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido

Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido

kwanini iwe kwake tu...kijana wetu daimond anakosa gani kwa baadhi ya WaTz
kwa mziki wa ndan sawa lkn hata nje pia tunamtenga?.....noo hii ni nchi yetu na huyu ni kijana wetu , so ni vizuri tukazid kujitangaza kwa huyu na wengineo watakao au waliotoka nje!!
hovyo kabisa..unaandika nini hiki?
 
Amna kitu cha kulinda kama utaifa. To sapport ur own tuige nchi za wenzetu ambazo wanaweka utaifa mbele. Chuki baina yetu haijengi Diamond katutangaza sana Tz tusichoke kumpa sapport" we mpe sapport thn maisha yake kala nn anatoka na nani mwachie mwenyewe

AKIJUA katiba pendekezwa ina utata mwanzo mwisho aliimba wimbo, call it KIBWAGIZA cha watanzania tupige kura ya ndiyo.HAPO MOND NI MZALENDO AU NI WALEWALE ....
 
wema ana nguvu ya soda tu hawezi kufanya watz zaidi ya mil 44 wamchukia diamond

kama wema ana au hana nguvu subirini mtaisoma, ktma muliponea kwa huruma ya majaji tungekomba tuzo zote
 
Mijitu ina roho mbaya ajabu,makosa ya wazazi wao na wao wenye yaliyowafanya kuwa masikini wanayahamishia kwa wengine.Yani yani ni ujinga mtupu.......kesho utasikia mbona viongozi wetu hawatibiwi nchini...mbona hawatumii kitu fulani cha nchini kwetuu....pumbavu kabisa mbona wewe huthamini cha kwenu?

Eti ooh Diamond ana dharau...alikudharau wapi?ushawahi kukutana na Diamond ana kwa ana akakudharau?mbona wewe ndiyo unaonekana mwenye dharau nyingi kuliko unayemsema!

Kijana wa watu anapambana kufanya yake na Mungu anambariki kwa juhudi zake...na Ataendelea kumbariki kwani anajituma.Hizo timu zenu za kishenzi za loosers ndiyo zinawatia ujinga,eti fulani mjinga mjinga ndiyo kawashikia akili watu wazima na akili zenu.Amkeni wabongo #FITINA , #CHUKI havileti maendeleo.

Penda nchi yako,penda vya nchini mwako.

ACHA FIKRA POTOFU

YEYE MOND ANAIPENDA nchi yake????angeimba kibwagizo cha kuwataka watanzania kupiga kura ya ndio ya KATIBA MPYA INAYOLILIWA KUWA MBOVU????au hajakisikia hiki kibwagizo uhuru fm????

Anavuna alichopanda, uzalendo una namna nyingi ya kuuelezea
 
Jamani jamani jamaniiiiiiii! Nimekuta pm's watu wananing'unikia kua mimi mkali, nina maneno makali na mambo kibao kama hayo.
Mnataka mimi nifanye nini? Kama nachokozwa nisijibu mapigo? Wengine wanajivika vyeo vya kiwendawazimu wanataka kunipangia muda wa kukaa humu nikae kimya tu?
Wengine wanataka kuingilia uhuru wangu wa kumpigia kura ninayemtaka mimi nikae kimya pia?
Sasa nasema hivi, NITAFANYA NINAVYOTAKA MIMI.ATAKAYENICHOKOZA ATAPATA STAHIKI YAKE VILEVILE.
 
Jamani jamani jamaniiiiiiii! Nimekuta pm's watu wananing'unikia kua mimi mkali, nina maneno makali na mambo kibao kama hayo.
Mnataka mimi nifanye nini? Kama nachokozwa nisijibu mapigo? Wengine wanajivika vyeo vya kiwendawazimu wanataka kunipangia muda wa kukaa humu nikae kimya tu?
Wengine wanataka kuingilia uhuru wangu wa kumpigia kura ninayemtaka mimi nikae kimya pia?
Sasa nasema hivi, NITAFANYA NINAVYOTAKA MIMI.ATAKAYENICHOKOZA ATAPATA STAHIKI YAKE VILEVILE.

hata hivyo wewe mkali...tuyaache hayo
MOND ni mzalendo wa aina gani mbona aliimba kibwagizo cha kuunga mkono katiba ya SITTA ambayo kila mweye akili timamu anaipinga????
uzalendo kwenye kupiga kura ila kwenye maswala yatakayoumiza taifa kwa miaka 50 tutangulize ujinga kama MOND alivyoimba kibwagizo...kipo uhuru fm
NI LAZMA tumshikishe adabu, piga kura bibie piga sana hamna kutishana yaan ukiamkaa tu hakikisha kabla hujafika mjini 20 zimetimia

WATU HAWAONI upuuzi wa alichokiimba kwenye kile kibwagizo cha tupige kura ya NDIYO KATIBA MPYA.....
 
Hvi watanzania mna masaibu gani. Kuna watu wanadai diamond ana dharau, sasa hyo dharau mnaiona mashabiki wa wema tu. Nimepita pita kitaa kuuliza watu na wanasema hawana tatizo na diamond.

Ila nimekuja kujua kumbe chanzo cha chuki ni mimba ya zari na kuachana na wema. Washabiki wa wema hawajakubali hali ya wema kutokuwa na raisi wa wasafi, pia wema nae bado ana kisasi, na ndo mana anaendesha kampeni ya kumpigia kura Davido na sio mtanzania mwenzake diamond.

Ila tu nisisitize, jokate, wema, na mange, nyie na washabiki wenu mpigien davido wenu, ila msitake kufanya watanzania wengine wamchukie diamond bila sababu. Sisi watanzania wengine tutampigia kura.

Na naona vanesa nae ashaanza kuingia team wema, mana anajipigia promo yeye mwenyewe na kumuacha diamond, badilika dada.

Vote for diamond ana Vanesa, MTv awards.

pelekeni upuuzi wenu instagram
 
Aiseee!! kumbe hii kitu inawezekana kabisa ,Mrisho Ngasa kuwa bora kuliko Messi na Ronaldo kwa kupitia kura za watu mambumbumbu..teh teh teh
 
Back
Top Bottom