Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido

Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido

hhhhbhaaaaa siwapendi woteee sasa HIV team kiba yeyote yule siwapendiiii mpaka hapo baadaeee yaan kama Li nifah linaniudhii,,nyie ngojeni Tu tulisheni ndimu mpaka basiii zamu yenu inakuja geniveros nae sikupendi tuuu

Unaunizigi kwa Wema ila leo nimekupata.....Basi hapa nashushia na kitorondo wakati namvotia skelewu
 
Last edited by a moderator:
yaan Jana nilichekaa aiseee ile ligi ya usiku ila nifah nawe utupunguzie dozi banaa ,kura mshakataa kutupigia basi mtupumzisheee na sie tuna roho jamanii,halaf nahis we ni rafiki yangu mmoja HIV nae ananitania haswaa maana ni team kiba kidogo nimuambie we ni nifah wa jf nini maana kanikomalia kisengee,mnaniudhiii

Hahahahaaa, jamani nimecheka balaa.
Ile ligi ya usiku wale wajinga ndio wanaosababisha niendelee kuwachapa.
Ila kwa sasa ngoja niwapumzishe niende kwenye majukwaa mengine, wakinianza tu show inaendelea.
Wala sio mie mwaya, maana hakuna ninayemtania hata mmoja nje ya JF.
 
Wewe ulianza hivi....
Halafu huyu kenge akatomboka hivi
↓↓↓↓↓↓↓↓↓↓

cc geniveros

hhhhahhhhhaaaaahhhaa mi nlifurahi na madongo yako ya wanaokufata pm inakuaje ugomvi wa sebuleni muuepeleke chumbani...?!!
ndo nkasema vile kuonyesha umenikosha jana..!!
jana si unajua ndo vilee...!
 
Last edited by a moderator:
Hata wewe?
Kila siku hapa unakaa na sisi tunamchambua Wema leo kuwa upande wa Kiba tumekua mashabiki wa Wema?
Lols nirudishie pesa zangu za Sangara sitaki tena kuagiza samaki kutoka kwako
Nimekuchukiaaaa😀😀😀😉

pesa sikupi na usiniqoute mamaaae halaf nyie ni wakimbizi muhame Tanzania mtuachie wenye nchi yetu pumbavu
 
Hahahahaaa, jamani nimecheka balaa.
Ile ligi ya usiku wale wajinga ndio wanaosababisha niendelee kuwachapa.
Ila kwa sasa ngoja niwapumzishe niende kwenye majukwaa mengine, wakinianza tu show inaendelea.
Wala sio mie mwaya, maana hakuna ninayemtania hata mmoja nje ya JF.

kwakweli nendeni Tu siasanii mi nitakufa bureee jamanii
 
geniveros
Hahahahaaa, sasa huyo kichaa kadandia treni kwa mbele bila kujua unamaanisha nini.
Mimi nimejua tu kama nilikukosha...
Hehehehehee, waarabu wa pemba sie twajuana atiiii...
 
Last edited by a moderator:
hhhhbhaaaaa siwapendi woteee sasa HIV team kiba yeyote yule siwapendiiii mpaka hapo baadaeee yaan kama Li nifah linaniudhii,,nyie ngojeni Tu tulisheni ndimu mpaka basiii zamu yenu inakuja geniveros nae sikupendi tuuu
mavi yakooo...na nnakuja mwanza mpk nifike mwako ww msukuma
mxiuuuuuuu....!!
ngoja nkampigie davido kwanza...
 
Last edited by a moderator:
mavi yakooo...na nnakuja mwanza mpk nifike mwako ww msukuma
mxiuuuuuuu....!!
ngoja nkampigie davido kwanza...

tena uje nakumwagia maji ya Moto mamaeeeeee urudi kwa ngosha Wako umebabukaaa,hasa uje na nifah nae nitammwagia Moto kabisaaaa,,yaan mim nahama jf kabisaa hhhhaaaa
 
tena uje nakumwagia maji ya Moto mamaeeeeee urudi kwa ngosha Wako umebabukaaa,hasa uje na nifah nae nitammwagia Moto kabisaaaa,,yaan mim nahama jf kabisaa hhhhaaaa

Hahahahaaa ila una roho ngumu shoga yangu balaa.
Wenzio wote wamejificha, kwakweli mimi nakuacha tu kwa sasa upumzike kidogo.
 
Jua halizibwi kwa ungo hata siku moja, nyota yake bado iko juu, ila ukifika wakati wa kushuka kama ilivyo kwa wasanii wengine atashuka tuu. Lakini sio kwa visa na visasi vya watu. Chiki zao ni sawa na kumpiga chura teke. Bora mckukue viti mkae maana mkisimama mtasubiri sana
 
Hahahahaaa ila una roho ngumu shoga yangu balaa.
Wenzio wote wamejificha, kwakweli mimi nakuacha tu kwa sasa upumzike kidogo.

Jana nilalala unajua nilichukia mpaka nikasema ngoja nipitishe likes hapa anapochambwa nifah nae achukie Tu,lakin wapi ,unaudhii punguzeni kumchukia Daimond bana,
Haya tuache tupumue
 
Back
Top Bottom