Sikuwahi hata siku moja kutegemea kuona chuki kiasi hiki ukizingatia huyo Diamond hata hajuani na wengi wa wanaomchukia humu na kwingineko.
Inatia aibu kwa kweli.
may be kwa kuwa hukai kitaa chetu ila huku yaan hata ring tone ya MOND itakufanya wakusonye
MOND anajiloga mwenyewe kwa kuwa msanii kila uchao anatafuta kiki au kimsemo cha kuwakera mashabiki wa mziki
Alishinda tuzo saba ikawa poa, leo mwenzie kashinda tano tu imekuwa nongwa???
Nlimpigia kura ktma ila mpaka sasa hajapost shukrani (just fb post ingetosha) kisa kashinda tuzo mbili anaona ndogo wakati wenzie wametoka mikono mitupu.HII NI DHARAU
kwani MARLOW aliishaje???MZEE WA PIPI.....naye MOND kaimba kibwagizo cha kuisifia katiba mpya inayopingwa sasa hapo kuna uzalendo kweli????
BORA NIMPIGIE DAVIDO, bora ndharauliwe na davido ila sio mtanzania mwenzangu